Ndoa ni jambo la Mungu mwenyewe

Ndoa ni jambo la Mungu mwenyewe

carlkate

Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
32
Reaction score
31
Wengi rafiki zangu ambao Kwa muonekano wao tuu wa nje walionekana watanashati, mahandsome, na walidate wadada tunaowaita visu...

Leo wako na wake zao na wanaonekana muda wote kuwa na Furaha sana kiasi cha kujivunia wenzao

Ajabu pamoja na uwezo wa uchumi mkubwa walionao pamoja na sifa kama Elimu bora na kazi nzuri...

Wameoa wanawake ambao Kwa ujumla ni wa kawaida sana, sio wazuri kuamsha tension... Ungeweza sema wadada wabaya wa sura na maumbo

Ni Nini hiki Kwa mlioowa
 
Wanawake wazuri sana ni wasumbufu mkuu
 
Wenye sura na maumbo ya kushoto wanajali sana pamoja na usikivu katika familia;hao wengine ni kwa matumizi tu pale watakapohitajika.
 
Isitoshe wana kiburi na kujiamini sana yaani maana wanajua kuwa watapata yoyote kwa wakati wowote. Halaf wana ule ujuaji mwingi sana.
Kuna mmoja huyo nilikuwa nae, anataka akipata mtoto aongee kingereza tu, yeye mwenyewe kazaliwa tandale hala anaongea broken.. nikoana ananipotezea muda

Wanapiga mizinga mno,yanini kuoa mtu aliekula hela yako nyingi wakat ukimwitaji.
 
Isitoshe wana kiburi na kujiamini sana yaani maana wanajua kuwa watapata yoyote kwa wakati wowote. Halaf wana ule ujuaji mwingi sana.
Kuna mmoja huyo nilikuwa nae, anataka akipata mtoto aongee kingereza tu, yeye mwenyewe kazaliwa tandale hala anaongea broken.. nikoana ananipotezea muda
Kwenye ndoa ni maisha mkuu,inakuwa haina maana unakuwa na mrembo asiyekuwa na tija hasa pale utakapopata majanga au changamoto za maisha kama magonjwa n,k
 
Sometimes I feel like getting a girl and settling down for the rest of our lives but my problem is who will take care of the other girls
 
Kwenye ndoa ni maisha mkuu,inakuwa haina maana unakuwa na mrembo asiyekuwa na tija hasa pale utakapopata majanga au changamoto za maisha kama magonjwa n,k
Well wadangaji huko town wanaolewa for show lakin hawataki kuwajibika.
Hapandipo wadada wenye sura za kawaida wana takeover.. maana wanajua true meaning ya ndoa.
 
Isitoshe wana kiburi na kujiamini sana yaani maana wanajua kuwa watapata yoyote kwa wakati wowote. Halaf wana ule ujuaji mwingi sana.
Kuna mmoja huyo nilikuwa nae, anataka akipata mtoto aongee kingereza tu, yeye mwenyewe kazaliwa tandale hala anaongea broken.. nikoana ananipotezea muda

ukiona hivyo ujue ni madhara ya kuangalia movie/tamthilia
 
Back
Top Bottom