Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 836
- 1,656
kwasababu hakina vigezo vigumu kujiungaNdoa ndio chuo pekee chenye sapu nyingi.
Chuo cha mataira, mataira wengi wanadumu kwenye ndoa ila ukingia na akili zako ni wiki tatu tu ndoa chali...Kuna nafasi nzuri sana ya kujifunza mambo mengi katika ndoa. Wanandoa unatakiwa kuwa tayari kujifunza.
Ndoa haiwezi kuimarika endapo kila mmoja kati ya wanandoa atang'ang'ania kubaki na misimamo yake aliyokuwa nayo kabla ya kuoana.
HAKUNA MWANAUME BORA DUNIANI AMBAYE ANGEFAA KUPIGIWA MFANO NA HIVYO KUPENDWA NA WANAWAKE WOTE DUNIANI
Kwasababu ni kinyume chake kwamba hakuna mwanamke ambaye atapendwa na wanaume wote inamaana kwamba endapo mmoja kati ya wanandoa atagundua kwamba ameoana na mtu mwenye tabia kinyume na alivyotarajia suluhisho sio kuachana bali kujifunza ili uendane naye.
Hii ndo maana ya kuita ndoa ni chuo.
Matunzo 02
huwezi kupima uimara wala udhaifu wa ndoa kwa umri waliokaa pamoja bali utapima kwa vitu gani amevumiliaWewe uko kwenye ndoa miaka mingapi sasa?
Nimeta uzoefu wakohuwezi kupima uimara wala udhaifu wa ndoa kwa umri waliokaa pamoja bali utapima kwa vitu gani amevumilia
sio kweli ndoa ni makubaliano tu ukiweka unafiki siku moja utachokaBila kunafikiana kwenye ndoa hamfiki mahali
Marriage is scam.
Basi sawasio kweli ndoa ni makubaliano tu ukiweka unafiki siku moja utachoka
wanandoa wasipojiheshimu utawaheshimuje?Ndoa na iheshimiwe na watu wote!
Mkuu... wanandoa wa siku hizi ni blah blah tu! hawako serious vitu vidogovidogo tu wanaachanawanandoa wasipojiheshimu utawaheshimuje?
usimtukane mamba kabla hujavuka mto unachoabiwa wewe ni kama ganda la nje tu ila ndani yao kuna mambo makubwa yanayofanya waachaneMkuu... wanandoa wa siku hizi ni blah blah tu! hawako serious vitu vidogovidogo tu wanaachana
yote yanayotokea na kwenye ndoa yanatokeaKwa kusema ndoa ni chuo basi unakuwa umehalalisha watu kujitoa kwenye fungamano hilo. Maana maisha ya chuo kuna Discontinuation, drop outs na kuahirisha masomo.
Pia unahalalisha wakina Dotto magari ambao wanaamini kuwa kusoma sana sio njia pekee ya kutoboa maisha maana wengi wa waliotoboa hawakupita chuo.