Ndoa ni changamoto

Ndoa ni changamoto

REALESTATE

Member
Joined
Jan 28, 2024
Posts
52
Reaction score
82
Nimepita kwenye mitandao ya kijamii nimekutana na hii... Aiseh ni ganzi. Ni tamaa, mapenzi au kujienekeza.

Mwanamke yupo kwenye ndoa lakini akarudiana na EX wake na wakazaa hadi mtoto

Paternity fraud is so rampat now days, na bahati mbaya sana sheria zenu za kibongo mlizocopy kutoka huko kwa wazungu hazitambui aina hii ya uhalifu.

Imagine mpaka mwanamke anakuwa na ujasiri wa kupiga simu na kuongea adharani kwenye media kwamba amezaa na Ex-boyfriend wake huku akiwa ndani ya ndoa, hii inaonesha tuna jamii iliyooza inayolea kila aina ya upuuzi unaofanywa na wanawake.
 
unaofanywa na wanaume ni nini mkuu?
 
Umma umeoza
 
unaofanywa na wanaume ni nini mkuu?
Umenisoma comment yangu huku ukiwa na mindset ya ME VS KE... inavyoonekana unapenda sana hii pyschological gender war iliyoshamiri nyakati hizi eti ehee? Ndio maana umeshindwa hata kucomment kuhusu kiini cha mada(utapeli wa uzazi) na umekimbilia kwenye kitu ambacho ni minor.
 
Minor true lakini umeanza vizuri juu ukamalizia na hoja ya ke pekeyake ndomana nikakukumbusha na me pia,ila sio mbaya nimtazamo wako wala me sipendi ligi hivyo ushindi nakuachia
 
Back
Top Bottom