Ndoa ngumu jamaani, ushauri tafadhari

You can call me old fashion...well,i will never leave my husband for another woman....THAT OTHER WOMAN WILL LEAVE.#Gladiators dont run,they fight#.


Dillish wa kwetu, you are 100% right and you have earned my utmost respect for that. U just cant be changing beds and men because the first man CHEATED. That is a defeatist idealogy and would infact mean you were just a trump not worth the husband or that marriage anyway. BRAVO!!!!
 
Last edited by a moderator:

Inshort umenigusa.
Natamani wote tungekuwa na uelewa km hui
 
.

Umewahi fikiri hasara ya kuwa na watoto ulio changanya baba tofauti...

hivi kwani we unajua hasara ya kuzaa watoto wa nje ya ndoa, kila mtoto na mamake? hebu tuanzie hapo kwanza, ukinipa jibu ndio tuje kwenye hasara ya kuzaa kila mtt na baba yake.
 
Hahahahaaaaaa mi chichemi! Usimfundishe! Ndoa itamfundisha!

kwa sabb kaomba ushauri, ngoja tu tumuingize kwenye ulimwengu wa kikubwa, sasa amekua zamani alikuwa mtt hajakutana na vitu....naaam sasa ndio amekuwa mama..
sisi wenzie yalitukuta pia, ila revenge ilisaidia sana kupoza machungu!!!!!!!!!! bahati nshafikisha idadi ya wtt ninaowataka lkn ingekuwa ndio kipindi kile haki ya nani angelea katoto ka mwanaume mwenzie.....mxiuuuuuu
 
kwa mchango huu wanaume wenye wake mjichunge sana.

hebu waambie wenzio bana, sasa hivi ni mwendo wa revenge tu!!!!!!!! yaani jino kwa jino

kinachonishangaza wanaume hawataki kabsa kulipwa kisasi, sasa km wewe hupendi kuchapiwa, mbona hujisikii vibaya kumsaliti mwenzio? au mnafikiri mioyo ya wanawake imeumbwa kwa chuma?
 

hebu mueleze ajue, sasa hapo ndio kakua, sasa anafaa kuitwa mama.......kuna mitihani ktk ndoa usiombe ikukute Wallah
utatamani ardhi ipasuke utumbukie humo
 
Kama kazini nje ya ndoa mpaka kapata mtoto hapo ni kumwacha tu hata mbele za mungu ni sawa hamna dhambi kwani imeandikwa msiachane bali kwa uasherati.
 
Wewe mwenyewe umo ndani ya ndoa ama? Au ndio ile kuwa fundi wa kucheza mpira mdomoni na sio uwanjani kama tulivyo wabongo kwenye soka?
 

Bravo Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Umemaanisha nini kusema "Mpuuzi mkubwa wewe!"
Naipenda amani ya Tanzania.
Yaani mtu katamka kabisa 'Mpuuzi Mkubwa' na mwenzake bado hana hakika kama kweli lile ni tusi au lah na bado anauliza umemaanisha nini,MH!
Puteni na nachora mstari atakaevuka tu mwenzake mwanamke, Twende sasa...>>
 

Are u married?Icje ikawa unatoa ushauri wakati hata hyo ndoa huijui! Juc askin tu.
 

Hahahaaa! kamusi, lol, hapo kwenye bold pametulia sana
 
Last edited by a moderator:
Kuzaa nje ya ndoa nini bwana alihali hujaambiwa ni mke wa pili anaolewa!komaa kwani jamaa alikuwa anatafuta uhakika kama watoto ndani ni wake kweli au sio mzima!!!angejuaje?
 
Sijui nyinyi watu ni kwanini mnapenda sana ku assume mambo

Story iko wazi kabisa na nimezungumza kwa uwazi

Hakuna mahali niliposema hili unalolizungumza wewe

Sasa unalitoa wapi?
Tatizo ni ngumu kuamini kaka huyo baba alikuwa anajua mkewe anachepuka na bado anaaendelea kuchepuka (maana ndani ya wiki hiyo kachepuka tena), na bado anaendelea kumvumilia mke wake, ndio maana tumehisi alipanga na mama. Ila kama ndivyo, huyo ni mwanamme wa aina yake
Anyway, ila kwa kuwa wewe ni Baba Paroko yafaa kufundisha kwa mifano,
 

wamesikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…