Ndoa ngumu jamaani, ushauri tafadhari

Nimekumbuka haya maoni yako katika huu uzi hapa chini, kumbe it was like time bomb, sasa limekulipukia, wanaume ni watu wa ajabu sana eh...!

https://www.jamiiforums.com/mahusia...e-kwa-asili-wanaume-ni-watu-wa-mitala%85.html
 
Vipi yamekukuta nini. kama vipi njoo nikupunguzie machungu.
 
mmh!ina maana huyo baba alikuwa anajua kwamba mkewe anachepuka? au mama naye alikuwa sehemu ya deal (alijua kinachoendelea) ili kuokoa ndoa ya kijana
Back to the topic, kuchapiwa kunauma sana hata kwa wanawake. Dada hayo mambo ni magumu, sijui hata nikwambieje maana mi ningeshamuhamisha ndani kwa muda kama sio mimi kuhama, ili tujitafakari kwanza. Ila, kila mtu ana jinsi yake ya ku-react akikutwa na hayo mambo.
Usikae na kujifungia ndani ukiwaza na kulia. kama ni muajiriwa, fanya kazi sana ili kupunguza mawazo, work extra hours. Nenda gym baada ya kazi, kula vizuri kwa ajili ya afya ya mwili na ya akili.
 
mmh!ina maana huyo baba alikuwa anajua kwamba mkewe anachepuka? au mama naye alikuwa sehemu ya deal (alijua kinachoendelea) ili kuokoa ndoa ya kijana
Rudia kusoma naona umemiss sehemu ya maelezo
Hivi mwanamke unachapiwaje?
 
...Ukishamvulia mwanaume mwingine, ukaamua kuwa mtupu mbele zake, ukaamua kupanua...akafanya yake, hakika nitakuacha, hamna mjadala katika hilo...
 
vumilia yale ambayo hayakuathiri kwa namna moja au nyingine. hakuna mambo specific unaweza sema hili waweza vumilia hili huwezi, kinachovumilika ni ile athari itokanayo na hilo jambo.
 
Kapteni John Komba aliwahi kusema akihojiwa na Salama kuwa anampenda sana mkewe kwa sababu alipoteleza(kuzaa nje ya ndoa) mkewe huyo alimsamehe na kuendelea kumlelea huyo mtoto wa nje.Life Goes on...
 
Kumbuka hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja muda wote.Wanatamani kama watoto wachanga
 
Kapteni John Komba aliwahi kusema akihojiwa na Salama kuwa anampenda sana mkewe kwa sababu alipoteleza(kuzaa nje ya ndoa) mkewe huyo alimsamehe na kuendelea kumlelea huyo mtoto wa nje.Life Goes on...
Na bado anaendelea na LULU
 
Na akiwa mwanamke ndio kazaa nje ya ndoa, mwanaume avumilie tu na ikibidi achukue amlee na hapo mkewe atampenda sana??!!
 
Du pole!!! Ilikuwaje mumeo akaenda zaa nje?? Ni dharau Hilo halikubaliki!!!
 
Nimesoma hadi nkaogopa ikiwa ulichoandika ndio uhalisia
 
Nilikuaga sielewi kwanini unaitwa baba Paroko, leo nimeelewa na mimi naahidi kuanza kukuita kwa jina hilo.
 
...Ukishamvulia mwanaume mwingine, ukaamua kuwa mtupu mbele zake, ukaamua kupanua...akafanya yake, hakika nitakuacha, hamna mjadala katika hilo...

Sukuma pride, Man's pride or Sukuma Man's pride.
 
Nimesoma hadi nkaogopa ikiwa ulichoandika ndio uhalisia

sasa unaogopa nini ndg yangu, ndio ukweli ulivyo huo!!!!!! na hii ndio sababu kubwa ya wanawake kucheat kma ulikuwa hujui!
Kha!!! cha kufia presha na mawazo lukuki ndani kisa nini? ndio sasa wanaume wajue ubaya wa kuwasaliti wake zao, na mume wa hivo inafaa kumzalia katoto kamoja ambako si kake halafu akikua ndio unamwambia ili na yeye apate uchungu kama alioupata mke kwa yeye kuzaa nje ya ndoa....mxiuuuuu
 
Mambo yanayopaswa kustahamiliana, Hali ngumu ya ki uchumi, mume kua mchafu(utamsaidia kwa kumuweka sop sop),kulewa kama hakupigi...unatakiwa kustahamili kwa muda...pombe zikizidi unaweza kuondoka....kuvuta sigara unaweza kustahamili..kama haikuletei madhara...Kuzini ni jambo lisilostahamilika kama hujiwezi uamuzi unaomwenyewe kwa sababu nalo neno.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…