Ndoa ndoano kweli kweli

Ndoa ndoano kweli kweli

jembe afrika

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
7,602
Reaction score
3,781
wakuu naomba mnipe japo ufaham tu,kwanini ndoa za siku hizi zina migogoro sana kuliko zamani?

Je chanzo chake ni wanaume au wanawake au ndo utandawazi?

au ni kuiga mambo ya ulaya maana huku divorce ni kitu cha kawaida.

au ni dada zetu ndo chanzo?wanataka maisha laini wanapokosa migogoro inaanza?
naomben mnijuze kwa hilo.
 
zamani wazazi wetu walifundishwa kutokuwa na say mbele ya mwanaume kwa kipindi hiki kila nikiwa na maana ya mama na baba wote ni kichwa cha nyumba na kila mtu ana say ndani ya nyumba .....

kwa maana hiyo nyumba haikai nyumba lazima mmoja ajifunze kushuka ili iwe nyumba moja... mi ndo ninachokiona n ninachoelewa
 
Back
Top Bottom