picha umeunganisha vibaya sababu miguu ya mtoto mikubwa kuliko mtoto. ulitakiwa utafute miguu ya mtoto wa pundamilia sio ya pundamilia aliyekua. angalia kwato zimeshakomaa kabisa.
picha umeunganisha vibaya sababu miguu ya mtoto mikubwa kuliko mtoto. ulitakiwa utafute miguu ya mtoto wa pundamilia sio ya pundamilia aliyekua. angalia kwato zimeshakomaa kabisa.
Anamaanisha hivyo lakini si kama anavyodhani kwa maana hawa wanyama wapo katika jamii inayokaribiana hivyo wakijamiiana wanaweza kuzaa,mfano punda na farasi au punda na pundamilia,ila kitakachozaliwa hakiwezi kuzaliana na ndio maana hakuna uwezekano wa kisayansi wa kukitangaza kiumbe hicho kama specie mpya..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.