Kontelo
JF-Expert Member
- Aug 16, 2013
- 571
- 161
Habari zenu wakuu, kwa heshima na taadhima naomba msaada wenu wa kinawazo ktk kunisaidia tatizo langu.
Mm ni kijana wa miaka 28 na ni mwajiriwa wa taasisi fulani, nimefikiria swala la kuoa lkn kabla sijalifikisha swala langu ngazi ya juu nimekuja kwenu munisaidie kimawazo ni vp naweza kupata mke mwema, muadilifu na nitamjuaje ili ikishafikia hatua ya kumchukua jumla nijue ni maamuzi yangu ndio yalionikomboa au yaliyonivabisha.
Shukrani zangu za dhati kwenu.