Ndoa: Mke Kugeuza Chupi

Ndoa: Mke Kugeuza Chupi

Mi ningeuliza hapohapo, najua atakua hajategemea swali la hivyo angekosa jibu sahihi kwa wakati na ndio utajua kipi ni kipi, na akibisha unamkagua lazima anyooshe maelezo.
 
Simple tu. Mkojo ulimbana...akaenda choon. Akabadili chupi.

Kuna haja ya kua mnakagua mikoba ya wanawake wenu kama wamebeba chupi mbilimbili wanavyotaka??? Hahaha
 
Mke baada ya kumaliza kuoga akawa chumbani, mume wake alikuwa amejilaza kitandani, huku akiwa anamuangalia mkewe anavyovaa.

Mara mke akavaa chupi kwa kuigeuza bila kutambua, mumewe akaona kuwa mke aligeuza chupi ila akamkaushia.

Mke akamuaga mumewe kuwa anaenda sokoni, akaondoka.

Alipo rudi nyumbani akakuta mume bado amejilaza, alipokuwa anabadili tena nguo mume akawa anamtazama ghafla akaona chupi mke ameivaa vizuri.


Swali

Kama wewe ndio mume ungefikiri nini?

Na ikiwa mkeo aliondoka amevaa chupi akiwa ameigeuza ila alivyo rudi kutoka sokoni kaivaa vizuri utachukua hatua gani?




NB: Simulizi hii nimeitoa katika group la dini facebook.
Kwan si kuna public toilets alikoenda atakuwa aliingia toilet akagundua haijakaa sawa akaiweka powa shida ipo wapi hapo au unafikiria ameshachepuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom