Sana yani.
Ndoa inaanzia kwenye akili alafu yanafata matamanio.lakini ukianza kuchagua mke kwa kutumia genyeyenge basi kuangukia pua lazima.
Wengi huangalia uzuri wa nje na kusahau inner beauty, maana uzuri hupotea tena wanawake tukizaa kunakuwa na changes nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah kumbe wewe ni baba?
Aiseeeeee si mchezo.
Hahahahahaaa unasaidia kusukuma gari za maselaAhahahha,hata ukiishi jirani na magari mabovu lazima utakuwa fundi mzuri tuu.
Nimeishi na washkaji wengi ambao walikurupuka kuoa alafu wakawa hawako siriaz katika ndoa zao na kuchagua mke,matokeo yake siri za ndoa wanazitoa mpaka kwetu kwa sababu ni watu wachepukaji hata kabla ya ndoa hivyo kwao ni rahisi kukupa stori za ndani na mkewe,tunajifunza mengi kupitia washkaji ntaani,alafu tunatafuta ufumbuzi.
Mkuu hiki hapa hivi ninacho hapa nakijenga bara baraNa jee wewe mda ulotumia kuandika comment kujibu post puuzi kama yangu si umekula mda pia
Kazi njema ya kujenga viwanda mkuu.
Na hapo angependa moyoni asingemkimbia wa awali ujue ndoa nzuri sana. Sasa ukiangalia uzuri siku ukapata janga ndo upendo kwishney, pia ukiingia ndoani pia unapunguza uhuni ujue huwa hamna jipya huko tunakohangaika. Ndoa za sikuhizi si mwanaume wala mwanamke wanashindana kwa michepuko kuliko singleHapo sasa.
Alafu mtu anaona solution atafute binti mpya ambaye naye atakuja kuzaa pia,anajikuta anadanda danda tu akiendeshwa na mihamu hamu bila kujua maisha yanaenda alafu hakuna la zaidi linalopatikana.
Wajinga tu ndo wanawaza kwamba kuna jipya huko nje.Na hapo angependa moyoni asingemkimbia wa awali ujue ndoa nzuri sana. Sasa ukiangalia uzuri siku ukapata janga ndo upendo kwishney, pia ukiingia ndoani pia unapunguza uhuni ujue huwa hamna jipya huko tunakohangaika. Ndoa za sikuhizi si mwanaume wala mwanamke wanashindana kwa michepuko kuliko single
Sent using Jamii Forums mobile app
Wajinga tu ndo wanawaza kwamba kuna jipya huko nje.
Kivipi mkuu?Kwani ukiona miyeyusho si unatoka tu .... ila kiukweli ndoa ni mtihan
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona ndoa inakushinda mnakubaliana mnaachana,coz ni ngum sana kuendelea kukaa pamoja kma upendo umepungua....kasheshe inakuja ikiwa mwenzako bado anakupendaKivipi mkuu?
Yes Mkuu,kuchagua ndo kila kitu katika maisha.Ukiona ndoa inakushinda mnakubaliana mnaachana,coz ni ngum sana kuendelea kukaa pamoja kma upendo umepungua....kasheshe inakuja ikiwa mwenzako bado anakupenda
Ila kiukweli ukikosea kuchagua right partner ndoa ni chungu sana....unaweza utaman kurudisha nyuma siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes unatoka Ila na manundu juu plus hasara na kushusha heshima yako kijamiiKwani ukiona miyeyusho si unatoka tu .... ila kiukweli ndoa ni mtihan
Sent using Jamii Forums mobile app
Kushusha heshima kivp?unajua ndio tatizo linalotukumba Waafrica wengi,tunaogopa kuachana kwa kuangalia jamii itatuchukulia vp....tunaishia kuendelea kuishi maisha ya tabu kwenye ndoa ili kuwaridhisha watu wa nje.Matokeo yake kuchepuka na magonjwa ya zinaa vinendelea kutumalizaYes unatoka Ila na manundu juu plus hasara na kushusha heshima yako kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kushusha heshima kivp?unajua ndio tatizo linalotukumba Waafrica wengi,tunaogopa kuachana kwa kuangalia jamii itatuchukulia vp....tunaishia kuendelea kuishi maisha ya tabu kwenye ndoa ili kuwaridhisha watu wa nje.Matokeo yake kuchepuka na magonjwa ya zinaa vinendelea kutumaliza
Sent using Jamii Forums mobile app