Majaribu2013
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 952
- 1,050
egisipiriensi ndio kitu gani?
Heaven on earth hiyo ndo lugha gani?experience.....
Huyo atakuwa ni tabia yake tu mbaya ya uvivu na uchafu na pia labda boarding za siku hizi tena baadhi ya shule chache sana ambazo nasikia watoto hawafanyi kazi yoyote. Lakini kwa boarding tulizosoma sisi enzi zetu!!!!! thubutu!!!! Unafanya kazi hata nyingine nyumbani hazipo!!! Mnafundishwa kulima, kutafuta kuni, kusafisha mabanda ya ng'ombe, kukatia ng'ombe majani nk.#Majanga
Ukitaka kuona ndoa ya blue haya sasa uoe mwanamke ambaye maisha yake yote yalikuwa ni kwenye shule za boarding, chekechea boarding, primary boarding, secondary boarding, a level boarding, chuo kikuu boarding.
Yaani ndani hawajui lolote, wachafu wa mazingira ya ndani, hawajui kupika vyakula vyote na vya kwenye 6X6 kiujumla hawafai. yaani anaweza akaacha vyombo vichafu mlangoni mpaka jioni viko palepale tu halafu wavivu muda mwingi ni kusinzia tu.
hebu na wengine toeni egisipiriensi yenu.
Heaven on earth hiyo ndo lugha gani?
Majaribu huyo na tafiti zake
Boarding gani unazozungumzia wewe.........labda boarding sa siku hizi
sio zile za enzi hizo tulizosoma sie...
Labda ninyi mlozaliwa kwenye utawala wa mzee Ben na baba Riz...Enzi za mwalimu hakukua na boarding za chekechea...kulikua na darasa la kwanza hadi la nne then middle school!
Umeona ee?
yani mi nimejiuliza wale wa boarding ambao unaamka saa 11 na huwezi kuacha kuoga,unakua na sehemu ya kufanya usafi asubuhi,time management inakuwepo hata usipopenda,muda wa ibada lazima uende,shamba kwa sana,hakuna kuvaa nguo za nyumbani(wengine ndo hadi viatu viraba),chakula utajifunza kula chochote(maharage unatoa wale wadudu kwa juu lol)...unajikuta maisha unaweza ishi popote
ngachoka kabsa!
hizi research hizi.
ww unaongelea boarding ambazo ulisoma miaka ya <2005 sasa boarding hizi za >2005 ni majanga matupu. na hata wale watt waliosoma primary boarding miaka hiyo nao pia wali lack skills hasa za house works. mie nilisoma boarding toka form 1-6 lkn enzi zile weruweru ilikuwa weruweru kweli manake tulikuwa tunaosha hadi migongo ya ng'ombe. chezeya kilimo wewe...................

binti yangu kasoma boarding kuanzia darasa la 5 mpaka sasa yupo form 2.Majaribu huyo na tafiti zake
Boarding gani unazozungumzia wewe.........labda boarding sa siku hizi
sio zile za enzi hizo tulizosoma sie...