rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 13,167
- 16,423
Wanawake wanaoacha kutoa unyumba si wapumbavu bali wanadamu, andastand, imagine ni kule mara anahenyeshwa kama mashine na kipigo halafu ufungue na miguu. Imagine ni wewe, mtukanane halafu uombwe unyumba unadhani utakuwa na hiyo hamu?
Hao si wanandoa sasa ni wapambanaji!