NDOA: Kwanini wanawake hutumia unyumba kama silaha?

ila wanawake wenye tabia hio sio mzuka jamani, kwa sisi waaminifu huwa mnatupa wakati mgumu sana, mbaya zaidi ndio huwa tunaifanya tiketi ya kuchepuka...
Sio siri mi nina uvumilivu mno ila sio uvumilivu wa kunyimwa K makusudi.
 
fe775cdaa31bcfb249a92cf1d01a0d61.jpg
 
sasa umetoa KOFI kubwa hata sekunde haijaisha unataka sex,,,,,,, wanawake wanafanya kazi nying hasa ofisni na za nyumban ndo balaa tofaut na mwanaume--------
yeye ni ofsn tu,,,,,, matokeo yake wazo la sex halipo na ukimgusa lazma atakuw kachoka,,,,,,, wanaume wanaopnga hi kitu ebu tuwape madaraka yote ya wanawake alaf muone km unyumba mtakuwa mnanyimwa.
yaaan kama talaka nipewe unipige muda huo huo alafu uombe msamaha suluhu iwe chiu ntakupiga kimirinda mbavu zimpinde
 
daa mwenyewe hapa wife kaninyima kisa nilimwambia ntamtumia pesa za kusuka msuko wa harusi.niko seburen nacheki uropa kaninyima na kanitia makofi kadhaa
 
Hivi wanawake huwa hawa-enjoy ile mambo? Maana mi naona anapobana, anajibania na yeye pia.

Heri sisi tutakaooa Eritrea.
wakiwa wamekasirika au kuhuzunika au kuchoka sana chungwa halitoi jwisi kwa hiyo hawa-enjoy. Huko Eritrea utafanikiwa round ya kwanza na ya pili. Baada ya hapo usipojua kuomba samahani na kubembeleza utakutana na mtihani huu huu. Wanawake ni wale wale, labda kama anakuuzia ndo hata ukimtukana atavumilia (mteja ni mfalme) ili aingize siku.
 
Huwezi kufanya mapenzi ukiwa unahasira, masononeko ama huzuni, kuna part mojawapo ya mwili haitakuwa na ushirikiano, ndio swala la kubakwa linapokuja, anasugua we ili amalize binti ya watu hakuna kitu inatoka mkavu kama steel wire anaishia kuchubuka na kuumia ili akuridhishe, kwahiyo ukijiona unamahamu yako, acha makusudi petty mkeo angalia usisababishe ya kuumiza roho ili mstareheshane, na kama ulioa ili ufurahie kufanya mapenzi deile, basi kumbuka mkeo sio hausigeli wako wa kukunyoshea, kukupikia, kukusafishia halafu awe na nguvu za kuja kukuwajibikia kitandani ili ufurahi, kama lile tendo ni la wote basi ujue akisema nimechoka uelewe, lasivyo tafuta tu mchepuko maana sio dhambi, usitoke povuu ukikuta amekutafutia msaidizi ili amridhishe. Afterall ndoa si mpk kifo kitakapo watenganisha? Kwahiyo kukazia maarifa ni muhimu ili izidi kudumu.
 
Hao ni wanawake wapumbavu
Wanawake wanaoacha kutoa unyumba si wapumbavu bali wanadamu, andastand, imagine ni kule mara anahenyeshwa kama mashine na kipigo halafu ufungue na miguu. Imagine ni wewe, mtukanane halafu uombwe unyumba unadhani utakuwa na hiyo hamu?
 
daa mwenyewe hapa wife kaninyima kisa nilimwambia ntamtumia pesa za kusuka msuko wa harusi.niko seburen nacheki uropa kaninyima na kanitia makofi kadhaa
Uongo mbaya, ungempigia umweleze ukweli, wifey deal imebuma naomba tufanye kesho leo hali tete, angekuelewa.
 
Back
Top Bottom