Ndoa Kusaidiana !!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa Kusaidiana !!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Mu-Israeli, May 9, 2012.

 1. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Ndoa kusaidiana majukumu !!!
  Ndoa.jpg
   
 2. misnomer

  misnomer Senior Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 197
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Ukiangalia vizuri kupitia various physical laws, mama ndo aliyebeba mzigo mzito kuliko baba

  View attachment 53884
   
 3. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160  Inawezekana kabisa. Maana inaonekana kama vile jamaa alikuwa ana sua-sua na mizigo ndio maana mama akaona ampe tafu kwa kumshika mkono !!
   
 4. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mamaaa ananeema,kwa marijali viongo fulani lazima visisime.
   
 5. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  una ndoa hapo...kuibiana tu!!
   
 6. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Uongo mbaya !!!
  Jamaa ana-faudu kweli kweli !!!
   
 7. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Ndoa ipo.
  Inategemea uko nae vipi.
  Wengi wanatulia kabisa.
   
 8. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamaa atakua bado anafukuzia ndio maana ananyenyekea hivyo.
   
 9. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,901
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145


  Ah wapi wala sio kufukuzia,hayo ndio maisha ya wenzetu wa magharibi na sio sisi tuliozoea mnatoka shamba wote mke ana kuni kichwani mtoto mgongoni na jembe begani,baba yuko nyuma na bakora mkononi na wakifika nyumbani baba atadai awekewe maji ya kuoga bafuni kisha awekewe ugali, na ukitazama mfanyakazi mkuu shambani alikuwa huyohuyo mama anayetumikishwa kama punda.Kwa wenzetu waliofanikiwa katika ukombozi wa mwanamke haya ndio maisha ya kila siku na ukijidai huyawezi basi mwanamke utamuona mtaani tu.Tubadilike na tuijue thamani yao..
   
 10. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  mh, sijui kama alimaanisha hivyo, hebu jaribu kutafakari kwa kina kuna kitu kimefichwa katika comment yake.
   
 11. MadameX

  MadameX JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Dec 27, 2009
  Messages: 7,847
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Tinga tinga lote la nini....
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,617
  Trophy Points: 280
  @MadameX nakuunga mkono isitoshe tumbo hapo hapo Taarabu na tumbo wapi na wapi mkuu?
   
 13. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 226
  Trophy Points: 160
  kwenye hiyo picha ni 'ndoa kumsaidia mwenza'
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  May 19, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,740
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Huyu mrembo mhmmm!!! Kwa kweli no comment.
   
Loading...