Ndoa kudumu inataka uzuzu

Mke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.
[emoji1][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah umeongea point sana asee
 
Mke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.
Hapa ndo unapokosea sasa . Mwanamke ukimpa nafasi ya kukupigia makelele kila mara na unakaa kinya hadi unajifanya mjinga kama ulivyosema kweli atakuona mjinga na hataacha . Mimi mwanamke akiongea ujinga kuna namna nikimwangalia anajua apa nipakukaa kimya maana kifuatacho hatakipenda. Mwanamme nikuwa na sauti juu ya mke wako sio mke wako anakua na sauti juu yako
 
😂🤣😂🤣 jicho tu inatosha
 
Akiongea au ukihisi anaanza kuongea fanya haya
1. Kaa kimya, ushinde moyo wako na hisia zako, maana wakionaga umekaa kimya anaweza hata akaja kukusukumasukuma
2. Yakizidi ondoka home, nenda kokote unakodhani kutakupa umbali.... kwa masaa machache
 
Hakuna mbinu za kuishi kwenye ndoa..Kila mtu ashinde mechi zake akimtanguliza Mungu.
 
Mke Anafanya kosa barabarani anapigwa faini analeta malalamiko kwako mpaka unamwomba msamaha utadhani we ndo polisi ili mradi uwe zuzu asiendeleze mdomo mpate usingizi.
Mule mule
 
Kuna jirani yangu wakati anaishi na mke wake ikua anaondoka home saa 2 anarudi saa 3. Monday yo saturday, then jp anashinda home

Saiv wife hayupo, unakuta hata saa nane huyo karudi homme anapumzika. Siku ingine anashinda homme anatoka saa sita.

Jamani wanawake punguzeni mdomo, au kama ni muhimu kuongea kua positive, na tumia lugha itakayo fanya mumeo apende kukusikiliza daily
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…