Ndoa kitaa

Ndoa kitaa

Joined
Dec 20, 2013
Posts
59
Reaction score
7
Siku moja bwana na bibi moja walibahatika kupata mwana tena wa kiume.

Ilipopita muda wakawa wamechokana sasa kila mtu akawa anahitaji kuishi kivyake.

Ikabidi wakae wenyewe waongee HUYU MWANA ATAKUWA WA NANI????

Haikutosha wakaenda mahakamani kuweza kujua suala hili

Hakimu alitoa nafasi ya wazazi hao kujieleza "BABA hivi nikienda benki nikiingisa atm kadi hela inayoto ni ya benki au ya kwangu?????? alihoji baba

Mama nae akasema hivi mkulima akimwaga mbegu yake shambani mazao yatakuwa ya nani??????


Jiteteeni kwa hoja.
 
Siku moja bwana na bibi moja walibahatika kupata mwana tena wa kiume.
Siku zote mwana huwa ni mtoto wa kiume (son), wa kike huitwa binti (daughter).
hata hivyo ni joke nzuri, endapo mimi ndo ningekuwa hakimu ningewapiga marufuku
wasionekane tena mahakamani...
 
Back
Top Bottom