Sasa hapo ndio nimekuelewa vizuri sana wangu.hujaelewa nini bana ni hv kuna jamaa ana mke ,mke anafanya kazi benki na huyu mleta mada. ni rafiki yao
mke wa huyo jamaa yupo maternity leave huyo jamaa akamuomba mleta mada amkopeshe laki.muda huo huo jamaaanaomba laki mkewe ambae yupo likizo akaomba kwa mleta mada aangaliziwesalio kwenye a/c kumbe mkwanja upo wa kutosha..mleta mada akaomba akopeshwe laki kwa mke wa huyo jamaa akapewa
wewe unaona nini hapo?
hapana mkuu sio wote wengi..hata huku wapo wanajifanya hawana time na mshahara wa wake zao eti kama sio uboya ni nini? unataka apeleke wapi? kama sio ataishia kukudhalilisha nazo? tafuta ushirikiano
ndo hasara za kula k asubuhiSasa hapo ndio nimekuelewa vizuri sana wangu.
Sometimes hivi vichwa vyetu vinakuwaga vizito kutokana na stress ndugu yangu, nisamehe bure.
wanaishi kibinafsi
hapana mkuu sio wote wengi..hata huku wapo wanajifanya hawana time na mshahara wa wake zao eti kama sio uboya ni nini? unataka apeleke wapi? kama sio ataishia kukudhalilisha nazo? tafuta ushirikiano
hajamkopa bwana kamsaidia kutoa hela kwenye a/c yake vile yupo likizo na kumpa mumewe wakatumieBado hayajawahusu
Dume zima limekalia umbea hadi kumkopa wife wa watu kujithibitishia tu umbea wake
Ovyoo
bado hayajawahusu
dume zima limekalia umbea hadi kumkopa wife wa watu kujithibitishia tu umbea wake
ovyoo
Bado hayajawahusu
Dume zima limekalia umbea hadi kumkopa wife wa watu kujithibitishia tu umbea wake
Ovyoo
ha ha ha....ticha....unataka kusema hawa ni wale wakikukopesha mtaa mzima utajua.....?
hajamkopa bwana kamsaidia kutoa hela kwenye a/c yake vile yupo likizo na kumpa mumewe wakatumie
Una access na account ya mke wa mtu?? Hapo najiuliza... Kwenye RED nadhani ulikusudia kuandika LEAVE...
Smile yawezekana pia hizo pesa kw acc ya mkewe zikawa sio za mshahara...Pili kama yale ya msingi tuliyokubaliana (cost sharing) kulingana na vipato vyetu ivi haya ya kuanza tena kupekenyua acc yake na kufuatilia sana hata ka annua increment sioni kama ni sawa.
Kusema kweli hii stori sijaielewa hata kidogo.
Humo kwenye red ndio imenichanganya zaidi.