Ndoa kama hii unaweza kujitia kitanzi.

Ndoa kama hii unaweza kujitia kitanzi.

Hii ni aina ya upuuzi ambao siwezi kuivumilia kabisa aiseeee
 
Mwanzo alijua huyo mwanamke ni mkorofi akamrudisha Kigoma, mara akatamani kukaa karibu na mwanaye akamrudisha huyo mwanamke Dar Mara huyo mwanamke ameshika ujauzito mwingine. Hao wanapendana. Vinginevyo angemwacha huyo mwanamke huko huko ilihali anapeleka matumizi.
 
huo ni upande wa mwanamke..je mwanaume hana tatizo lolote labda linalosababisha ugomvi wao? lazima kuna uwalakin hpo. si rahisi ugmvi aanzishe mke bila sababu ya msingi
 
Hamna kitu kibaya ktk mapenzi kama kuingilia mapenzi ya watu unaweza muonea huruma vituko anavyofanyiwa ukamshauri aachane nae usiku akiwa juu ya kifua anapewa yote anamwambia mkewe mm nakupenda sana mke wangu pamoja na kuambiwa nikuache we mwambie kaka anavyojisikia yy ndo afanye
umeona ee? ya ngoswe muachie ngoswe.
 
Yaache mapenz ya kaka yako kama yalivyo, yakimshinda atatafuta njia ya kuyatua hayo katatizo ambayo kimsingi unayaona wewe coz kama jamaa Alishamrudisha mke kwao na akamfuata ni dhahili hao wanapendana,usijiweke kwenye nafasi ya kuonekana wewe ndo chanzo cha wao kuachana kwa mawazo utayompa! Akishindwa atatafuta watu waliowasimamia ndoa yao hatimae yatafika kwa wazee na mwisho kwa viongoz wa Dini
kawaida ndgu wa mume huwa wanajifnya wenyewe ndo wnye kuathirika sana na ugomvi wa wana ndoa zaidi hta ya mhusika.. (ndugu yao)
 
amrudishe kigoma ila akimiss vituko vyake awe anamuendea
 
kawaida ndgu wa mume huwa wanajifnya wenyewe ndo wnye kuathirika sana na ugomvi wa wana ndoa zaidi hta ya mhusika.. (ndugu yao)
Ndo maana nimemwambia kijana akae mbali na ndoa ya kaka yake autunze ushauri huo asubiri wakati wake utapofika mawazo hayo aya practice kwenye ndoa yake
 
kwanza we kama mdogo wake umemshauli nini..?
leo nimejua kuwa mapenzi balaa yani wapo kwenye mgogoro lkn kugegedana palepale kama kawa sasa huo mgogoro ama mgogorano!
hahahaaaa
 
Eti alimrudisha akaishi kwao kwa miaka mitatu??? Yan amechapiwa kwa miaka yote mitatu na bado akaenda kumchukua tena! Kwa ufupi kati ya kaka yako Nan huyo mwanamke, ambaye ana matatizo makubwa na wa kuombea ni kaka yako! Hajitambui kabisaa na kwa kuanzia hapo yeye ndiye chanzo kwani anaonekana kuwa hayupo serious na ndoa. Anataniatania tu
 
Bro ako ndo Ana matatizo inabid wakamfanyie checking., iv kaa waliachana na huyo mwanamke kisa hayo hayo mambo akaweza kuishi peke ake for 3yrs., kilicho mfanya amrudie huyo mwanamke ni nn ka so kuamsha vilivyo lala., den ka huyo mwanamke amejitafutia nafasi mwenyewe ya kujinyonga kwann msimwache apungue tu Dunian
 
Huelezi ugomvi unatokana na nini, unaeleza tu ugomvi ugomvi ugomvi ugomvi mkubwa sasa tutajua nani anamakosa ili tuweze kumshauri? Je kama kaka ndio anamapungufu nawe unaonekana kumtuhumu mwanamke moja kwa moja unataka wote tumtuhumu au ushauri?
 
Kaka ana 28 mke 24
Huo umri wote vichwa vya moto kila mtu anajiona ni mkubwa na ana haki ya kutoa maamuzi ya familia
Waache kama walivyo wakikua wataacha sababu wanapenda
 
Back
Top Bottom