Ndoa kaburi la mapenzi

Ndoa kaburi la mapenzi

katika somo gumu ni ndoa na ndio maana huanza kupewa chet then mtihani unafuata, nakama isinge kuwa hivyo ingekuwa madarasan hakuna watu
 
tatizo lako we umekulia uswazi na ku ishi maisha ya kuiga iga na kuolea uswazi naye ulio muowa ana iga iga apo lazima kopa zije kubadilika ndomana unatakiwa uowe sehemu tofauti na ulipo kama upo mjini uende kijiji kama upo kijiji uende mjini apo kidogo utaeza pata nafu yani unaolea uswazi tena kwa kigodoro unategemea upate mke waku kuweka furaha iyo ni kamwe..
 
Salaam,
Wana jamvi nadhani mtakubaliana nami ya kua ndoa ni kaburi la mapenzi. Wakati wa urafiki mpaka wakati wa uchumba kunakua na vionjo, manjonjo na vikorombwezo vingi kati ya wapendanao lakini baadaya kuona karibia vyote hizikwa kwenye kaburi la ndoa.

acha kukariri me nna miaka 17 ya ndoa lkn mapenzi motomoto ss hv tumetok out...sushe napata km kawa na k ipo tight kinoma najua jins ya kuitunza
 
Ila nikweli waina fulani. Ndoa kwa mtazamo wangu, mtu huzikwa mara mbili. Kwanza una zikwa kwa wale wa kristu, pingu za maisha, maana yake hutakiwi kua na mwingine isipokua yeye tuu hata akianza tabia za kishenzi awe mke au mume. Hapo unakua umejizika kabisa. Pili ukisha kufa kwenye ndoa ndo basi tena raha tupu hamna tena. Kwahio kunakaukweli kusema ndoa ni kaburi. Kwa waislam, kuna hafuweni ya taraka, kwahio hufungwi vile. Hii habari ya kifo kitutenganishe, kwakweli ina ashilia kaburi kabisa.
 
Hizi mada hua ata sizipendagi basi tu ndo nishafungua
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimesikia msemo huu kwenye tamthilia ya wachina wa TBC.
Salaam,
Wana jamvi nadhani mtakubaliana nami ya kua ndoa ni kaburi la mapenzi.
Wakati wa urafiki mpaka wakati wa uchumba kunakua na vionjo, manjonjo na
vikorombwezo vingi kati ya wapendanao lakini baadaya kuona karibia
vyote hizikwa kwenye kaburi la ndoa.
 
Back
Top Bottom