Ndoa jamani

The secret of a happy marriage remains a secret

Bahati mbaya siwezi like kupitia hii kimeo ila ulichoandika ni kweli sana. Halafu hata hao wachache walioweza hawana uwezo wakuwapa hio siri wengine. Hehe. Mimi hata sijihangaishi kufwatilia wala kushauri! Hamnaga logic.
 
Natamani hiyo kesi niinunue, yaani ujichange siku kibao na kununua vitu halafu mtu avivunje ndani ya muda mfupi, hata kama nimemfanyia kosa gani lazima heshima iwepo.
 
Hivi hapa kuna igomvi au maigizo....

Ugomvi wa kuzima na kuwasha taa???? hao wanandoa wana mapenzi ya kihindi...teh teh teh


Na wanasimulia watu kabisa; eti tumegombana; mmegombania nini? taa

Kwa kuwa watu walisha kariri kwenye ndoa kuna ugomvi basi wanautafuta hata kwa kulazimisha (kuforce)



usiogope bana, kuna wanaofurahia maisha ya ndoa sana tu. cc nyumba kubwa.
 
Hamweki dushe sawasawa au ana kidumu
 

biblia inasema kila kitu kifanywe kwa kiasi!

upole, kwa kiasi!

ukali, kwa kiasi!

sasa huyu jamaa amekuwa mpole kiasi kwamba anaweza kuingiziwa kidole jichoni bila reaction yoyote!

mwanaume kuwa mpole sana ndani ya nyumba, NI UDHAIFU MKUBWA!!
 
Shetani kaanzia kwa mwanamke na atakuwa hayuko sawasawa ukizingatia mme kuokoka ni tatizo sana kwa shetani kwahiyo anajaribu kila lililopo kuondoa uwepo wa roho wa kweli kwenye hiyo ndoa,mwanamke kawa chambo ila jamaa anatakiwa kuomba sana kwani hakipo kinachoyashinda maombi ...aende akaombewe ndoa yake pepo la mama litamwachia la sivyo shetani kaanza na Eva kama ilivyo ada.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…