Ndoa ipo mashakani

Simfundishi chochote, namuonea huruma kwa anayoyapitia ingali bado mapema,
Iweje umuonee huruma wakati yeye anaona ni kawaida...!!
Na kama anapitia magumu, kwani yeye unadhani haoni...??
Wemuache cousin bhana, maana haujui wanayo yaongea chumbani yeye na mumewe.
 
Talking from experience...........
 
achakiherehere haya kuhusu...olewa na wewe
 
Naomba usinitag kwenye upuuzi wako, maelezo mareeefu ila sijaona point yoyote ya msingi ya kujustify manyanyaso ya kiwango hiki. Ingekuwa hayo uliyosema ndio kisababishi wanaume wote hawa tunaowaona wangekuwa wanabehave kama wewe na shemeji wa mtoa mada
 
Hapo kwenye 70+ fanya 95%.
Yes wanaume wanacheat lakini wanaheshimu wake zao na hawawaonyeshi na hata wakidakwa wanakua wapole. Huyo mume kashindikana. Haheshimu ndoa yake wala mke wake.
For better for worse haihusiani na uasherati.

Kama ana courage she should move away, ila mwanaume kuchepuka ni norm/culture. So, the lady should look how she adapts in that marriage.

Asilimia 70+ ya ndoa zinabebwa na maamuzi ya mama.
 
Uko sahihi mwanamke akishajifungua hubadlika sana mapenzi huhamia kwa mtt, kila kitu kwa mtt mume kaachwa solemba na ukihoji tu umeamsha ugomvi,
Tatzo huwa linaanzia kwa wanawake wenyewe pindi wanapojifungua mara nyingi huwa mnabadirika sana mnasahau majukumu yenu n mnakuwa rafu sana
 
Hapo kwenye 70+ fanya 95%.
Yes wanaume wanacheat lakini wanaheshimu wake zao na hawawaonyeshi na hata wakidakwa wanakua wapole. Huyo mume kashindikana. Haheshimu ndoa yake wala mke wake.

Huyo anamfukuza ila hawezi kutamka ondoka.

Anataka ajiondoe mwenyewe.
 
Naskia wake za watu sasa hivi ndiyo habari ya mjini; Hawakatai sijui kwa nini
.yaani akikataa aisee una bahati mbaya!! Afu kizuri wanajua sana mapenzi na hawana gharama kama hawa vicheche wa town.
 
Ukiolewa utayakumbuka. Samahani kwa kukutag
 
Ukiolewa utayakumbuka. Samahani kwa kukutag
Samahani mkuu, nimekuwa too harsh. It's because am too sensitive linapokuja suala la mtu kunyanyaswa na ninachukia zaidi mtu anapokuwa kama anajustify manyanyaso hayo.
 
Iweje umuonee huruma wakati yeye anaona ni kawaida...!!
Na kama anapitia magumu, kwani yeye unadhani haoni...??
Wemuache cousin bhana, maana haujui wanayo yaongea chumbani yeye na mumewe.
Haoni kawaida, amekua mtu wa kulia kila siku, wameshasuluhisha ugomvi hadi kwa familia, but the man hajali, hayo ni baadhi tu ya anayopitia. Yeye anachowaza ni kutengana tuu.
 
Samahani mkuu, nimekuwa too harsh. It's because am too sensitive linapokuja suala la mtu kunyanyaswa na ninachukia zaidi mtu anapokuwa kama anajustify manyanyaso hayo.
Upoje shangaza sana ila naelewa reaction ya mtu ambaye hajaolewa! Umeona Sky Eclat alinielewa chap chap bali wewe hukunielewa nami najua si kosa lako. Umenikumbusha siku moja enzi za ujima mama waligombana na baba niliumia kuona baba anamgombeza mama yangu kipenzi! Nikamuuliza kwa nini anatanya hivyo jibu lake lilikuwa. Wewe bado mtoto ukioa utayaona. Uliza mwanaume yoyote hapa JF mwenyewe uzoefu wa ndoa si chini ya miaka 10 na watoto angalau 3, kama atanipinga nipo tayari kusema kama Kaluwa
 
pole yake huyo dada yetu, cha msingi avumilie tu huku akimwomba Mungu mme abadilike ...ila huyo mme nae kaanz wenge mapeme, duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…