Ndoa inapokua haina matunda ..!

Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,669
1,500
Ndoa inapokuwa haina matunda (mtoto) wanandoa huwa wana haha na kukimbilia nyumba za ibada kufanya maombi ili atoe baraka. Nimeleta uzi huu kuwaasa wakina mama kuwa makini kwenye nyumba za ibada manake viongozi wengine wa dini sio kabisa! Hii imetokea huko Nigeria Pitia mwenyewe.

[h=3]Video: Warri Pastor Having Sex With Woman While Praying For Her To Get Pregnant.[/h]A video has been leaked of an inglorious pastor having sex with a woman who has issues with childbirth in a secret place! In the video as she was being slept with, you would hear her saying the prayers in the delta state language after the evil pastor: “Power, Enter, Claiming her spiritual pregnancy!
Please share the video link below till it gets into the hands of the law makers as the faces of the culprits are so clear in the video. VIEWERS DISCRETION IS ADVISED

Welcome To Mackson Okotie's Blog: Video: Warri Pastor Having Sex With Woman While Praying For Her To Get Pregnant.
 

King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,813
2,000
Sasa hiyo video mbona pastor hashushi sala? Hii ni mbinu banaa, you cant tell me huyo mama aliamini hayo ndo maombi yenyewe ya kuingiza power!
 

mzabzab

JF-Expert Member
Aug 18, 2011
16,249
2,000
mhm kumbe hawa mapastor wanatuvegedea wake zetu....ah sasa no kwendakanisani. wife atasali hapa hapa nyumbani
 

jamii01

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,955
2,000
huyo ni msanii tu..Pastor gani anaweza kukubali kurecord ..hata mtu wa kawaida uchukue mke wa mtu utakubali kufanya mapenzi huku kuna mtu mwingine anakurecord?acheni kuwapakazi watumishi wapo watakatifu wengi tu na matapeli wapo pia..

Huyo ni shetani yuko kazini.
 

maisara

Member
Sep 7, 2012
92
0
usiombe uoelewe umalizie hata miaka 5 bila mtoto, ukute ukweni ni wakuda! Utatamani ardh ipasuke uingize japo miguu 2.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom