Vipi kuhusu magonjwa?Kuna njia mbili tu. Kuamua kuiacha ndoa au kuendelea kuvumilia na kuacha kumfatilia mpaka hapo mwenyewe nafsi itakapo msuta. Ukiamua kuvumilia unatakiwa uwe na roho ngumu. Uende kumpa heshima yake kama mume na huduma zote bila kujali ambacho unakijua kuwa anakusaliti. Ukifanikiwa hilo ndoa utakua umeiweza na yeye mwenyewe atajishtukia hata akiwa anakucheat kamwe hutojua na hata ukija kuambiwa wewe mwenyewe ndio utakataa.
Yaani hujakosea kwa mtu uliyempenda na kumwamini inauma sana, labda kama wanapotezeana muda na kusogezana sikuNimesoma comment za watu humu, wengi wanatamba kwakujiona ni manguli wa mapenzi.
Visanga vya mapenzi vikukute kwa mtu ambae haukuwa unampenda hapo unaweza kutamba vyovyote vile, ikitokea vimekukuta kwa mtu unaempenda na kumuamini kwa moyo wote aiseeeh maumivu yake huwa hayana mfano.
Mapenzi ni janga jingine linaloharibu kabisa maisha ya watu, asilimia 80 ya matatizo ya binadamu chanzo ni mapenzi either mwanaume au mwanamke.
Mama akiwa na furaha ndani basi familia yoote inakua na furaha hawajui tu.. hata kama mtu una mambo yako nje usifanye hadi wife ndani ajue basi.. ila usaliti unaumiza sana jamani sio poa..Mawazo yao wanajua baraka zinatoka kwa mama mzazi tuu wanamsahau mke, wanakosea sana sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena ndiyo huwa wakwanza kukimbia kupima, ukiona kapima hapo ananing'inia kama tai shingoni lakini kwenye kuchepuka ni mashujaa .Vipi kuhusu magonjwa?
Basi hebu sema kidogo kidogo na weweKwa hiyo anafanyaje
Wewe ushindwe kuomba namba kwa mhusika uje kuomba kwangu khaaa...mimi mwenyewe sina kwanza
Hiyo sentensi uliyomaliza nayo ndio yenyewe sasaPossibility ya kukuletea magonjwa ni kubwa, maana kama hajari afya yake hapo uko motoni.
Ukweli unauma lakini ni bora usemwe, ni bora kumuepuka kumbuka akikuletea shida au ugonjwa ni hasara yako na ndugu zako.
Wapo wanao sema, usifuatilie ukae tu duh! Yaani akuletee magonjwa halafu nini kifuate?
Chukua hatua sasa.
Remember: " Akili za kuambiwa , changanya na zako"
Kumbe????
Hahahaahahhahaahah!Umesema nitume namba ya wakala?
Hebu mpe khantwe namba yako acha uchoyo.
Hebu mpe khantwe namba yako acha uchoyo.
Yaani namba tu unatunyima nkamu mwenzetu
Ukifanya hivyo basi ile issue ile yaani nsiseme sanaKwa misingi kwamba mimi ndio nitampa namba
Hebu mpe khantwe namba yako acha uchoyo.
Yaani namba tu unatunyima nkamu mwenzetu
Ukifanya hivyo basi ile issue ile yaani nsiseme sana
Aaaggghhh hsasa ntafanyaje. Acha na mie niwe nkamunimecheka eti nkamu mwenzetu
Mnishirikishe na mimi hiyo issue. Kwanza mrudi selfikaUkifanya hivyo basi ile issue ile yaani nsiseme sana
Kwani tumeondoka?Mnishirikishe na mimi hiyo issue. Kwanza mrudi selfika