Sawa mkuu..tafuta sababu itakuwepo tu..sisi wanawake wakati mwingine tunashindwa pengine kuzungumza..yawezekana tusitumie maneno sahihi yakawaumiza na kuwaletea majeraha….tunaishia kukaa kimya mwisho wa siku ndo kama hivyo hajisikii kupiga game.Mkuu kama kukuna mimi ni mwalimu. Maana hata hao wa nje wananililia kwasababu hiyo tu shida hawa watu wanatofautiana sana hasa katika afya zao hususan afya ya uzazi mwingine hainjoy mwingine ana enjoy. Nafikiri na mimi ndio msalaba wangu maana siku anaponikubalia anaenjoy sana ila ni kagoli kamoja hataki uludie na hapo zitapita 2week.
Hakuna shida nimeshaacha ukudaAisee..kuna ule msemo wako kidogo niandikie sema nashindwa[emoji23][emoji23]
Si ya mwanaume tu hata ya mwanamke huna haja ya kuichunguza ,,, lasivyo unajitafutia la rohonSimu ya mwanaume ni kama kitunguu ukiichunguza lazima utoke machozi achana nayo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani nimecheka! Hilo neno huwa linanishinda kutamka!!Hakuna shida nimeshaacha ukuda
Anapaswa avumilie tu mana hapaswi kushindana na mwanaume!Sasa afanyeje mzee baba[emoji28] maana kumkimbia mume sababu anagonga nje ni ushamba bora akagongwe tu apooze rim
Halafu kwanini anapekuwa pekuwa simu ya mwenzake?? Yaani wanawake huwa wanavitafuta vilio kwa makusudi kabisa. Ukisikia mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake ndio hivi sasa!
Kwahilo ni pendekezo lake binafsi😅 ila kimsingi hata aktaka kuuza gemu auze tu sina noma nae!Anapaswa avumilie tu mana hapaswi kushindana na mwanaume!
Kwanini linakushindaga?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani nimecheka! Hilo neno huwa linanishinda kutamka!!
... nakukubali sana Chak.
Ni tusi la kizamani, zamani hatukuwa na haya matusi ya siku hizi! Mtu akizingua anakuwa mkuda, leo huambiwi mkuda...utaambiwa..ms***e!Kwanini linakushindaga?
……hata mimi nakukubali sana E[emoji3526]
Mambo mengine siyo ya kufanyia masihara, huyu anahitaji ushauri nasaha yuko depressed.Hebu weka picha tuone kwanza anastahili kuchepuka au hastahili tusije kuanza kumsema mtu bure tukapata dhambi.
Halafu aje kumuomba samahani baada ya kumpatia gonjwa fulani ambalo halina tiba?Halafu kwanini anapekuwa pekuwa simu ya mwenzake?? Yaani wanawake huwa wanavitafuta vilio kwa makusudi kabisa. Ukisikia mwanamke mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake ndio hivi sasa!
Ushauri lazima uangalie jinsia na mambo mengine mbali mbaliKuna mahali nimekuta unatoa povu kwelikweli kisa kidume kaleta mada ya Usaliti mnapotoa ushauri msiangalie jinsia
[emoji25]aiseeUshauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.
Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.
Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu. Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi, Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Mimi mwenyewe mbibi..usishangae tulivyobadilisha na kukata ukali🤣🤣Ni tusi la kizamani, zamani hatukuwa na haya matusi ya siku hizi! Mtu akizingua anakuwa mkuda, leo huambiwi mkuda...utaambiwa..ms***e!
sister unadhani ni hao watatu tuu!? inaonekana ni mgeni sana kwenye tasnia ya malavidavitena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.