Mwenzako alikutwa na KY sasa haijulikani anawapakaa au anapakwa yeye! Ila mke yupo ktk uchunguzi na ndio kwanza kamzidishia mahaba..nahisi ni mtego
Unapoamua kuoa maana yake maisha ya u bachela unawaachia wengine, matatizo mengine ni ya kujitakia mkuu. Hauwezi shindana na mwanamke hata siku moja, unampa mazingira ya kumfanya nayo aote kengere utayeteseka ni wewe siku za usoni