umeonae bibie keshasoma mchezo hapo..weee!Lazima hata kama ni uvumilivu una kikomo chake
Sasa ndoa inavunjika kisa nini?
bi harusi yuko makini
Vitu vinafanyika behind the scenes lakini bibi harusi kastukia na kukunja shingo.Uswazini ni makucha na meno yanatembezwa kwanza kabla ya hicho kitu kiitwacho talaka!