Ndoa Huwa Ina Stage 4

Ndoa Huwa Ina Stage 4

ü Mtoa mada hayupo makini, tatizo lake anajua neno ndoa kwa Kiswahili tu, hivi aache kubunia mambo hapo
ü Kuna matrimony and Marriage. Nenda Marekani kunaa cohabitation, etc
ü Kama ni marriage hakuna hizo step anazosema hizo.
ü Kaman ni matrimony ok,
ü After matrimony unaweza kuevaluate marriage value
ü Japo angesema hivi( pre- mature, mature and post mature)
ü Hizo imagined ndoa zake huyo ni zina involve accidental marriage.
ü Planned and organized marriage hazina matatizo

Hizo planned na organised zipo kwa asilimia ngapi kwa hizi ndoa za ss?

Otherwise he s ryt simply coz ndoa za sshv nyingi sio za upendo wa kweli
 
kwetu niliambiwa hivi,kila siku niwe namuona mume kama mtoto wa miezi miwili ambaye anahitaji ulinzi wa mama na upendo wa mama zaidi na kweli nimeona nikiifuta hii mambo bado yapo kama honeymoon tuu, pia nilisisitiziwa kuwa mtoto nitakaye zaa nimuone kama mgeni kaja kunitembelea hivyo nina haki kuongea nae au kumwambia niko busy arudi baadae, hivyo mimi namba 3 nitairuka salama tuu

Hongera sana kwa kuyaelewa vyema maelekezo na malezi ya kwenu
 
Back
Top Bottom