Ndoa Huwa Ina Stage 4

Ndoa Huwa Ina Stage 4

lwakaja

Member
Joined
Nov 25, 2011
Posts
61
Reaction score
19
1. Mkwara stage

Mwaka wa Kwanza wa ndoa ulivyo mtamu hapa bado wapya ni full kujishaua, kila mahali mko wote, unawahi kurudi home, kabla hujapika unauliza hubby ungependa kula nini leo. Profile picture na Selfie za kumwaga, mnafanya Anniversary za ndoa mwezi kwa mwezi kama kifurushi cha cheka bombastiki.

2. I am happily married stage

Miaka 2-3 ya ndoa, pete za ndoa zinang'aa, full kupiga picha huku unashow kidole kila mtu ajue your taken. Ni mwiko kusahau Birthday ya Mkeo/Mmeo, ukitongozwa unaripoti hapohapo kwa mme/mke. Full huba, mnabadilishana hadi password za simu na facebook, mnajenga trust kwamba hakuna siri kati yenu.

3.I am married stage

Hapa lile neno happily limeanza kufifia, ndoa ina miaka 5. Gusa simu yake uone moto kudadeki, mdada ushajifungua watoto wawili, umejiachia, Saluni huendi unasuka tu tatu kichwa freesh. Jamaa anaanza kuhisi umezeeka/umedorora/huna mvuto. Umejiachia Mtumbo wa chips na uzazi huooo ukidhani mmeo ameshakuzoea so huna muda wa kumu-impress anymore. Eti Kuku wako manati ya nini wakati nje kuna masistaduu wanawaka kama Tanzanite na wanamtaka mmeo na pete yake hivyohivyo.

4.Bora liende stage

Ndoa ishafika miaka 7-10 hivi, Hapa mme anarudi muda anaotaka na hataki aulizwe kitu, yuko bize anasahau birthday yako na ukimwambia anawaka kwamba unafuatilia vitu vidogo. Mnalala pamoja hata mwezi hakugusi wala nini. Sexual attraction kushnehi, hapa ndo unakumbuka namba ya EX wako kichwani na kuanza kurecall alivyokuwa anakukamua vizuri kuliko mmeo anayechechemea dakika 6 halafu anakoroma.

Mnaanza kuwa close na EX na kuchepuka mara 1 moja na hujisikii vibaya coz Home hamna spark anymore na unahisi mme anasababisha ukamuliwe nje. Talaka huombi coz unajiuliza wazazi watanionaje, mashosti niliowalingishia harusi watasemaje unatulia kimya.

Walio nje wanawaona nyie ni mke na mme, lakini nyie wawili mnajua ukweli kwamba mmekuwa kaka na dada wasio tumbo moja!

Me mecopy tu sitaki maswali Bye.
 
stage ya tatu ni kweli kabisa wengi wakishabahatika watoto wanajisahau kujiweka sop sop hapa majukumu yanakuwa mengi zaidi ingawa hii sio kisingizio mbadilike wanandoa
 
mchana mwema malizia kazi sasa..
 
Hii thread imenikumbusha mjadala na mama fulani juzi kwenye daladala Mwananyamala aliyenambia mtoto ndiye kila kitu kwake, mume wa nini! Mtoto unamtoa mwenyewe tumboni mwako, mume mnakutana ukubwani na unaweza kuwa na mwingine. Lakini mtoto thubutu. Nikamuuliza, Kati ya mume na mtoto uliyeanza naye nani? Akapiga brabraaa. Kiujumla, wapenzi huanza kuchokana Mara baada ya kupata watoto.
 
lwakaja kuwa gentleman na kumtambue alianzisha kazi hii ...........Mamaa G Waukweli

Otherwise hii "plagiarism" na unastahili kutopewa "LIKE" yoyote
 
Last edited by a moderator:
5. Adolescent marriage 10 - 20 ...................... Kesi zisizoisha, ugomvi wa kitoto kama wake wenza
6. Harvesting marriage Sasa hapa mnavuna hiyo miaka mliyowekeza, kama mliwekeza ugomvi hapa linabaki jina la familia tu, kama malavidavi yalikuwepo yanakuwa doubled
 
Lol wengine neno happily married huisha wakati wa mkwara stage! Halafu unaruka stage zote unaingia bora liende stage... hatareee!
 
Hii thread imenikumbusha mjadala na mama fulani juzi kwenye daladala Mwananyamala aliyenambia mtoto ndiye kila kitu kwake, mume wa nini! Mtoto unamtoa mwenyewe tumboni mwako, mume mnakutana ukubwani na unaweza kuwa na mwingine. Lakini mtoto thubutu. Nikamuuliza, Kati ya mume na mtoto uliyeanza naye nani? Akapiga brabraaa. Kiujumla, wapenzi huanza kuchokana Mara baada ya kupata watoto.

sina habari na watoto mie niko busy na babe
 
kwetu niliambiwa hivi,kila siku niwe namuona mume kama mtoto wa miezi miwili ambaye anahitaji ulinzi wa mama na upendo wa mama zaidi na kweli nimeona nikiifuta hii mambo bado yapo kama honeymoon tuu, pia nilisisitiziwa kuwa mtoto nitakaye zaa nimuone kama mgeni kaja kunitembelea hivyo nina haki kuongea nae au kumwambia niko busy arudi baadae, hivyo mimi namba 3 nitairuka salama tuu
 
Back
Top Bottom