Ndoa hulindwa kwa gharama yoyote ile

Ndoa hulindwa kwa gharama yoyote ile

wazo zuri...ntalifanyia kazi nikizeeka aka nikioana....
 
hamna lolote mnalofanya jema kudanganya wake zeno,mnajidanganya wenyewe.yanamwisho.
 
Mimi ningekutukana usiku kucha kwa msg.na ungerudi lazima ningevunja simu,gari wala nisingekubali..story za majambazi

Nilivo badilisha sura nilitia huruma wewe mwenyewe ungenionea huruma wala usinge gundua kuwa ni maigizo ulikuwa ni profesional uongo, badala ya kunipiga ungenikumbatia
 
Nilivo badilisha sura nilitia huruma wewe mwenyewe ungenionea huruma wala usinge gundua kuwa ni maigizo ulikuwa ni profesional uongo, badala ya kunipiga ungenikumbatia

Haa wapi...kukupiga nitawezea wapi.hizo movie za wanaume tumezizoea mimi nakutia hasara tu...
 
kwa mwanaume mwenye hekima na busara lazima apigane hadi tone la mwisho ili
kuifanya ndoa isivunjike. Sio kwamba ni kichekesho ila ni simulizi ya kweli aliyokumbana
nayo rafiki yangu wa karibu. Rafiki yangu huyo ni mwaminifu kwa kiasi kikubwa (not 100%)
kwenye ndoa yake, kutokana na hilo wanaheshimiana sana na mke wake, hivyo ni ndoa
ambayo kila mtu angetamani kuiga kwa jinsi wanavyonekana kuishi kwa furaha na upendo
(japokuwa hatujui mambo ndani). Siku moja wakati jamaa yangu akirudi nyumbani toka
kazini foleni zilimzingua (kama ujuavyo foleni za ‘darisalama’) akamua kuegesha gari lake
kwenye pub moja hivi ili foleni ipungue. Akapata moja ya baridi, mara ya pili, ya tatu,
ya nne……… kushoto kwake kukawa na mrembo naye pia anabariizi na moja ya baridi.
Jamaa baada ya kukolea na bia akanzisha stori na huyo mrembo, mwisho maongezi yakabadilika
na kuanza kuombana mambo ya wakubwa, oh, mara wakaelekea nyumba ya wageni wakati wote
ni wakazi wa ‘darisalama’. Baada ya pombe kupungu mukichwani, kushtuka ni saa tisa usiku,
hayuko home, na ‘my wife’ wake kapiga sana simu (kuna, missed call’ kama kumi hivi) na kuna missed
call za kakake, shemeji zake n.k. Akapiga akili za mukichwani mara akapata mawazo; ilipofika saa
kumi usiku akajipeleka kituo cha police. Kufika police akaongea na askari wa zamu (‘of course’ alimkatia
kitu kidogo) ili amuweke ndani kwa kosa la kuleta vurugu na kushambulia akiwa pub. Ikabidi police
ampigie simu my wife wa jamaa kumweleza yaliyomkuta mumewe na alimtaka afike kituoni saa moja asubuhi
kumwekea dhamana wakati wanasubiri kumpeleka mahakamani j3 (siku hiyo ilikua usiku wa kuamkia
jumamosi). Ikabidi wife wake akimbie haraka sana kwenda kituo cha police kuweka dhamana.
Basi my wife wake ni kumpa pole tu my husband wake kwa kwenda mbele, kesi yenyewe ‘fake’ ilishia
kwa askari wa zamu.

Tahadhari;

1. Usijaribu kufanya hivyo, maana unaweza ukaacha ‘loophole’ ambayo itatiliwa mashaka.

2. Ukikosea kwenye ndoa usitumie nguvu kurekebisha mambo, tumia busara na akili 'ku-solve'

3. Inawezakana my husband wako kweli kakamatwa na kulala lupango wewe ukafikiria ni masihala.
Hata kama una mashaka lakini huna 'evidence' mezea tu ili kulinda amani na upendo.

Fundisho; linda ndoa yako kwa gharama yoyote kwa manufaa ya watoto wako na wewe mwenyewe

nafikir tone la mwisho ulimaanisha mazoezi kama haya ya kulenga umwonapo adui wako
 

Attachments

  • gda.jpg
    gda.jpg
    47.5 KB · Views: 98
Aiseee hii ni kijitoa muhanga. unakaa lupango kabisa bila kosa ana alikaaa ofisini kwa police? milimo
 
Last edited by a moderator:
Kwa mwanaume mwenye hekima na busara lazima apigane hadi tone la mwisho ili
kuifanya ndoa isivunjike. Sio kwamba ni kichekesho ila ni simulizi ya kweli aliyokumbana
nayo rafiki yangu wa karibu. Rafiki yangu huyo ni mwaminifu kwa kiasi kikubwa (not 100%)
kwenye ndoa yake, kutokana na hilo wanaheshimiana sana na mke wake, hivyo ni ndoa
ambayo kila mtu angetamani kuiga kwa jinsi wanavyonekana kuishi kwa furaha na upendo
(japokuwa hatujui mambo ndani). Siku moja wakati jamaa yangu akirudi nyumbani toka
kazini foleni zilimzingua (kama ujuavyo foleni za ‘Darisalama’) akamua kuegesha gari lake
kwenye pub moja hivi ili foleni ipungue. Akapata moja ya baridi, mara ya pili, ya tatu,
ya nne……… Kushoto kwake kukawa na mrembo naye pia anabariizi na moja ya baridi.
Jamaa baada ya kukolea na bia akanzisha stori na huyo mrembo, mwisho maongezi yakabadilika
na kuanza kuombana mambo ya wakubwa, oh, mara wakaelekea nyumba ya wageni wakati wote
ni wakazi wa ‘Darisalama’. Baada ya pombe kupungu mukichwani, kushtuka ni saa tisa usiku,
hayuko home, na ‘my wife’ wake kapiga sana simu (kuna, missed call’ kama kumi hivi) na kuna missed
call za kakake, shemeji zake n.k. Akapiga akili za mukichwani mara akapata mawazo; ilipofika saa
kumi usiku akajipeleka kituo cha police. Kufika police akaongea na askari wa zamu (‘of course’ alimkatia
kitu kidogo) ili amuweke ndani kwa kosa la kuleta vurugu na kushambulia akiwa pub. Ikabidi police
ampigie simu my wife wa jamaa kumweleza yaliyomkuta mumewe na alimtaka afike kituoni saa moja asubuhi
kumwekea dhamana wakati wanasubiri kumpeleka mahakamani j3 (siku hiyo ilikua usiku wa kuamkia
jumamosi). Ikabidi wife wake akimbie haraka sana kwenda kituo cha police kuweka dhamana.
Basi my wife wake ni kumpa pole tu my husband wake kwa kwenda mbele, kesi yenyewe ‘fake’ ilishia
kwa askari wa zamu.

Tahadhari;

1. Usijaribu kufanya hivyo, maana unaweza ukaacha ‘loophole’ ambayo itatiliwa mashaka.

2. Ukikosea kwenye ndoa usitumie nguvu kurekebisha mambo, tumia busara na akili 'ku-solve'

3. Inawezakana my husband wako kweli kakamatwa na kulala lupango wewe ukafikiria ni masihala.
hata kama una mashaka lakini huna 'evidence' mezea tu ili kulinda amani na upendo.

Fundisho; Linda ndoa yako kwa gharama yoyote kwa manufaa ya watoto wako na wewe mwenyewe

Walikuwepo wajanja sana kuliko wewe,
walizilinda ndoa zao kwa gharama kubwa,
ukitaka kuwafahamu kwa majina, nenda


image.jpg
Na ukitaka ushuhuda watembelee majumbani

image.jpg
FUNDISHO:




​
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    8.7 KB · Views: 164
Mkuu stori imenikumbusha mbali yaliyo mtokea jamaa ni kama ame copy na ku paste yaliyo nikuta. Ila mimi nilizima simu tokea tulipokua tuna ingia kunako room tayari kwa kuvunja amri ya 6 (kesho jumapili nitaungama) na tulipo amka saa 10 usiku sikujisumbua kutoka badala yake nikaendelea na kutenda dhambi tena sasa kwa kisirani, nilisimamia kama ninaendasha baiskeli vile, na kwa sababu ya hofu nilichelewa kushusha mzigo mpaka saa 12 . wakati ninaoga ndo akili ikanijia nikampitia rafiki yangu M nikampa somo akanisindikiza mpaka home kufika tukazuga eti majambazi walikodishwa waitoe roho yangu tukashtuliwa na raia wema ikabidi kunificha na simu kuzima maana wangetumia njama kunipigia . My wife wangu alilia na kunipa pole na kunipongeza kwa mbinu nilizotumia kujiokoa kumbe Mhhhhh!!!!! Acha wanawake watudanganye tu lakini sisi wanaume uongo wetu ni profesional, Mungu anisamehe na mama Q nisamehe my wife wangu....

Kazi kupenda zinaa tuu kahh such a shame
 
Unaweza kufikiri ni mjanja lakini wanawake ni zaidi ya unavyo fikiri.Ni wajanja sana na wanajua kuficha siri sana.
Cha msingi kuishi na mwanamke unatakiwa umwamini na umheshimu na uoneshe unamjali na kumpigania,kinume na hapo jua kuna wanao cover nafasi hizo.
 
Back
Top Bottom