Ndoa hizi zisikieni tu

Anna Pita, marriage is not universal. Usitumie experience ya mwingine kufanya recommendation ya ndoa. Kila utayemuuliza uzuri au ubaya wa ndoa, atakwambia kadri ya experience yake katika ndoa yake, kitu ambacho huwezi pata jibu moja lenye uhakika.

Same mistake linatatuliwa tofauti katika ndoa mbalimbali na baadhi ya ndoa kuanguka au kusimama kutokana na hiyo mistake.

Binafsi, huwa sifanyi kosa la kufanya judgement katika ndoa yangu kwa kutumia uzoefu wa ndoa ingine. I believe my marriage is unique and can't compare with any other.

One more thing to learn, "Marying is not Marriage".
 
hilo nalo neno maana wadada wa sasa wanvopenda kuolewa,hata ukimuambia ukweli kuhusu jamaa yaani hawaelewagi as long as jamaa katangaza ndoa baaaasi.....akifika huko ndio sasa utumwa wa hiyari unapoanzia cc The Boss.

Hivi dorcas umeshaolewa au tuje tukupunguze stress?
 
mmh, nasikia hasira kushauri , kuna mda naonaga Nyaningabu yuko right
 
Halafu vimeo vingi ni washauri wazuri wa Ndoa za wenzao...easier said than done

The boss umeniwahi! Nilitaka kuisema hiyo sasa hv! Si unamuona hata yule mchungaji wetu pale Mikocheni!
 
Weka hapa hati yako ya ndoa ndiyo tuta amini kama upo kwenye ndoa!
Mnadanganya sana bana ehehehehehehe!!
 
Avumilie tu, huyo mwanaume itakuja kumkaa sawa akimchoka X wake,
1. Aombe vizuri na awe na imani Mungu atamuonyesha njia na kumfungua mume wake.
2.Atafute frend with benefit ajipunguzie stress na aache kumfatilia mumewe, akishatimiza majukum yake kama mke awe bize na frend with benefit amwache mumewe awe bize na X wake, akae mkao wa kumpokea sun atarudi,
 
huo ni upande mmoja wa shilingi.umeshajiuliza huyo binamu yake anamhudumia vipi mumewe??!! maana baadhi ya wakinadada wa siku hizi ni hedeki tupu wala hawafai kuitwa wake. yeye anachojua ni kuvaa ngozi ya kondoo kabla ya ndoa ila akishaolewa utayaona makucha yake ndugu. jiulize kwa nini huyo dr hakumuoa mama motto wake wa mwanzo na akaolewa binamu yako halafu sasa hivi dr anakuwa karibu sana na mama motto wa zamani??!! something is wrong somewhere na huenda dr anajutia uamuzi wake wa kumuacha mama mtoto wa zamani na kumuoa binamu yako. usipende kulaumu upande 1 bila kujua ukweli halisi
 

ah.,umeandika busara tupu..
 
Atafute mazuri ya mumewe then aconcentrate on them huku akisugua magoti. Ni shetani kawaingilia ktk ndoa yao.
The way we solve problem can be problematic itself.
 
huwaga nasema nikishakubali kuolewa basi najitoa muhanga

Na kujitoa mhanga si jambo dogo na rahisi kiivyo!.... Unaweza kujivisha bomu au kamba ya kujinyongea mwenyewe ikiianza kubana na nnya inatoka unarukaruka kuomba msaada!
Don't take ndoa kwa perception hiyo dear!
 
umeongea points juzi kuna uzi uliwekwa humu kuhusu wadada wanaokimbilia ndoa za wenye vipato mkadai"bora manyanyaso ya kwenye verossa kuliko ya kwenye baiskeli"tama zinatuponza wadada kutaka madr,injinia,wahasibu,so tunavuna tunachopanda.

Eheee sasa na Dr wa muhimbili naye tajiri? jamani kubadili mboga na kukaa cottas za ma Dr nao ni utajiri wa kumnyanyasa mtu?
Tofautisha utajiri na professions!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…