Ndoa hizi zisikieni tu


Mwambie avumilie tu mpaka kifo kitakapo watenganisha.
 
rafikio analipi alilomtenda?
 
Ndoa ni tamu sana pale utakapopata mtu mnaendana na mnajuana na ni chungu saaaaana pale inapokuwa tofauti au kuna mmoja aliokuwa anaigiza kipindi cha mahusiano.Hii mambo ya watu kukutana makazini na kuoana ndo matatizo ya ndoa za siku hizi. Ukijaribu kuangalia ndoa nzuri za kuigwa fanya utafiti utaona wawili hao lazima wamejuana mika mitatu minne kabla ya kufunga ndoa ila siku hizi chap chap watu wanaowana lazima iwe kisanga huko ndani watu wanapoanza kukunjua makucha. Kingine wadada wengi wanataka kuishi maisha ya kitamthilia zaidi kuliko kihasilia lazima ndoa iwe ngumu. Ukiona unaigiza kwenye ndoa ujue haiwezi dumu na upendo utakuwa ni kama vifurushi vya voda vya limited tofauti inakuwa nani kaweka cha muda mrefu na hapo ni swala la hela sasa.
 
Some people learn through mistakes. Inawezekana akajua alikosea wapi afu akashauri ili usipite alipo yeye. Anyways, kuwa kimeo raha sana, unakuwa hauna stress unajua?

Some truth...
 
Nakuja kwenye mada sasa. Je kipindi hajaolewa alikuwa na tabia ya kujua mwendendo wa mume wake? Je alikuwa akipenda kujishirikisha kimawazo na shughul za mumewe? Kama no kamwe hatoweza kumbadilisha jamaa coz ndo life yake hiyo labda kama alibadilika ndo ataweza kujirudi tena. Kama yeye alikuwa anaburutwa kozi ya hela za jamaa lazima awe mvumilivu na aendelee kuburutwa coz is the life she choose from the beginning.
 
Kuna siku nilikutana na dada mmoja, divorced 10 yrs ago. Akasema akili alizonazo leo, wala asingeachana ba mumewe. Sikuhoji, but i guess alipata worse experience akagundua kuachana sio solution.

so yeah, i would listen to everyone na kufanya maamuzi binafsi
Some truth...
 
mbona naona kuna miguno mingi humu embu na mim nigune mmmmmmmmhhhhhhhhhhh............
 
Halafu vimeo vingi ni washauri wazuri wa Ndoa za wenzao...easier said than done

Noop kiongozi experience always matter ndo maana hata wasimamizi wa ndoa lazima wawe wameshakaa miaka zaidi ya mitano kwenye ndoa ili kitu wewe unakiona kipya kigumu yeye kesha kipitia na anajua alitatuaje. hakuna ndoa watu wanacheka kila siku ndoa kitu ingine bana wewe unafikiri mpaka watu wakizeeka wanafanana mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…