Ndoa hizi zisikieni tu

Ndoa hizi zisikieni tu

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
427
Wapo wanaokesha makanisani wanasaka ndoa wengine wapo ndoani wanajuta kwanini waliolewa basi tabu tupo
back to point.

Kuna binamu yangu yeye hali ni tete kwenye ndoa yake ndoa yake inamiaka 2 anamtoto 1. huyo binam yangu hana kazi anabiashara ndogondogo tu mumewe ni doct.

Jamaa anaishi kiubabe sana mwanamke hana sauti jamaa anaweza amwambie kesho nasafiri akiuliza unaenda wapi we jua nasafiri.

Kipato cha mme hakijui wala matumizi anachojua kala kashiba basi mme alishazaa nje kabla hajamuoa anaongea na mzazi mwenzie mpaka saa 7 usiku hatakiwi kuuliza anaambiwa hayakuhusu kwan huli ukashiba?

Inshort hana amani kabisaa, jamaa ana jeuri vibaya mno anaweza akarudi saa 6 usiku akimuuliza anamjibu mi sio mtoto.

Ndoa hizi zisikieni tu.
 
Mwambie tu asimame na mungu Kwani yeye ndiye jibu la yote! Kwa sababu kama kafunga nae ndoa basi ajipe tu moyo atayashinda!
 
wapo wanaokesha makanisan wanasaka ndoa wengine wapo ndoani wanajuta kwann waliolewa basi tabu tupo
back to point
kuna binam yangu yeye hali ni tete kwenye ndoa yake ndoa yake inamiaka 2 anamtoto 1. huyo binam yangu hana kaz anabiashara ndogondogo tu mumewe ni doct. jamaa anaishi kubabe sana mwanamke hana sauti jamaa anaweza amwambie kesho nasafir akiuliza unaenda wapi we jua nasafir, kipato cha mme hakijui wala matumiz anachojua kala kashiba basi mme alishazaa nje kabla hajamuoa anaongea na mzazi mwenzie mpaka saa 7 uck hatakiwi kuuliza anaambiwa hayakuhusu kwan huli ukashiba? inshort hana aman kabisaa jamaa jeur vibaya mno.... anaweza arudi saa 6 uck akumuuliza anamjibu mi sio mtoto.
ndoa hizi zisikieni tu

A happy man marries the girl he loves, but a happier man loves the girl he marries. ~ African proverb
 
Mmmmh hakuna ajuaye atakutana na changamoto zipi ndan ya ndoa, akishaingia ndoan ndo hujua sasa kujua namna ya kukabiliana na changamoto hizo ni shda
 
wapo wanaokesha makanisan wanasaka ndoa wengine wapo ndoani wanajuta kwann waliolewa basi tabu tupo
back to point
kuna binam yangu yeye hali ni tete kwenye ndoa yake ndoa yake inamiaka 2 anamtoto 1. huyo binam yangu hana kaz anabiashara ndogondogo tu mumewe ni doct. jamaa anaishi kubabe sana mwanamke hana sauti jamaa anaweza amwambie kesho nasafir akiuliza unaenda wapi we jua nasafir, kipato cha mme hakijui wala matumiz anachojua kala kashiba basi mme alishazaa nje kabla hajamuoa anaongea na mzazi mwenzie mpaka saa 7 uck hatakiwi kuuliza anaambiwa hayakuhusu kwan huli ukashiba? inshort hana aman kabisaa jamaa jeur vibaya mno.... anaweza arudi saa 6 uck akumuuliza anamjibu mi sio mtoto.
ndoa hizi zisikieni tu

we mchochezi tu,wao wanajuana,wanajua wanavyoishi.tatizo ni wewe
 
Back
Top Bottom