sonnita
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 1,787
- 1,920
Lazima utafute njia ya kumsema mchagga. Wewe naee.bmk,
Ushauri: ndiyo njia yao kuonesha kuwa amefurahi (hasa wachagga) maana kila kitu anataka yeye aamue. Kama ukitaka maendeleo lazima uwe na maamuzi ya kiume. Atafurahi baadaye baada ya kuona paa la nyumba. Usikasirike hiyo ni kawaida na hapo anakupenda kuliko jana