mkosa yote
JF-Expert Member
- Nov 9, 2018
- 503
- 1,072
Naona baada ya wewe ku msuprise wewe ndo amekusuprise sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Take this adviceTatizo lako unataka kufanya tamthilia kwenye uhalisia. Kumbuka kujenga nyumba ya kuishi ni kitu kikubwa kwenye familia, haswa kwa mtu na mkewe.Wewe umefanya kama vile kununua maua ya birthday. Ndio maana mkeo kakasirika na yuko sahihi.
Swala la kununua eneo la kujenga nyumba ya kuishi familia sio sawa na kununua maua, unatakaiwa kuangalia mambo mengi, na ni vizuri sana mke na mume kushauriana na kukubaliana.
Acha maisha ya tamthilia hizo Isidingo the need.
Kaa na mkeo muongee na ukubali umekosea, msikilize ushauri wake na muendelee kutokea hapo.
Sijui umeandika nini?Wewe na wewe unakuwa kama pimbi,ndoa unaiharibu mwenyewe hapo nyie mmeshakuwa watu wazima ule utoto mliokuwa mnaleteana mkiwa kwenye uchumba umeshaisha sasa hapo mnafanya maisha.
Wewe ndiye kichwa,umenunua kiwanja kazi yako ilikuwa kumpeleka ili naye apajue kwa usalama wa eneo mengine hayamuhusu kama ni mbali au karibu mwanaume umeshaamua umeamua,sasa umemfanyia surprise ngoja naye aku-suprise kwamba hakutaki unamdharau atake mgawane hiko kiwanja ulichonunua ndo akili itakukaa sawa.
Mm siwezi kusema amemtawala Bali jamaa alionesha Upendo na heshima kwa mke wake lakn mwanamke hajitambui,.MKUU KWA MAELEZO YAKO TU INAONESHA MKEO KAKUTAWALA NA KUKUPANDA KICHWANI.KUWA MPOLE MKUU NI MAZINGIRA AMBAYO ULIYATENGENEZA MWENYEWE KABLA
Nimeongea kitu ninachokijua,unaweza ukawa na wazo la kununua kipande cha ardhi kwa manufaa ya familia yenu ila siku unayoenda kulipa mkienda wote mkeo anakwambia huku mbali na blah blah blah nyiingi ukilazimisha kupanunua ndo yanatokea haya na ndiyo kinachomtokea huyu,kununiana ndani ya nyumba na vurugu zisizoeleweka,mkewe bila kuangalia uwezo wa mumewe kiuchumi alikuwa anawaza kuishi Mbezi Beach leo kaambiwa kiwanja kimenunuliwa Mbezi Kimara we unadhani angefurahi?kama dhaifu ukikubaliana na mawazo yake maendeleo yako yatakuwa shakani.Sijui umeandika nini?
Sasa ndio kampeleka ili akapaone aliponunua? Tena na hati ya kiwanja ilivyoandikwa? Sasa kosa lake nini?
Before yellow card... "VAR Checking "Yellow card
Duh! Hata mm nmenuniana na mama ngina mwezi sasa unaonaje tuanane hata Leo hii tupunguze mlundikano Wa protin kiunoniIikipita week amenuna na mzigo Hataki kukupa uje nikupe hapa hapa. Na me tumenuniana na Mr. Mwezi wa pili Sasa.
Duh! Hata mm nmenuniana na mama ngina mwezi sasa unaonaje tuanane hata Leo hii tupunguze mlundikano Wa protin kiunoni
umeishi na mtu 4 yrs umeshindwa kabisa kuzijua tabia zake?
Siku tano bila mzigo ni kama mwaka(katika dunia ya utamu).Yaani kunyimwa mzigo siku tano tu unakuja kulialia huku