bmk,
Kama ulipita shuleni kwa kiasi hata kidogo Karl Marx ana theory of conflict inasema hivi "...
society is in a state of perpetual conflict because of competition for limited resources. It holds that social order is maintained by domination and power, rather than consensus and conformity".
Kubaliana na mimi kwamba hakuna mahali watu wanaishi bila conflict, conlicts make people think even beyond looking for solutions and that is what result into development (But not necessalily). Masuala ya ndoa yanahitaji mwanaume mwenye akili. Tafakari tu, just think that, not every misunderstanding may be a conflict, sometimes can be defined as outlook differences
Mkeo mmetofautiana tu mitazamo, wakati wewe ulitaka kum-supprise probably yeye ameliona hilo kama attempt ya kutaka ku-subortage, au ameona kama huthamini mawazo yake katika kufanya mipango pamoja. Think roudly my friend. Hawa binadam ni wa kuhandle with care, they are so fragile.
Mi nafanyia kazi mkoa fulani lakini familia ipo mkoa mwingine. Huwa inatokea tusipowasiliana usiku, kesho yake unaulizwa, jana ulilala wapi mpaka ukashindwa kunipigia simu? Au unapiga simu mapema zaidi unaulizwa mbona umepiga mapema hivi unahofu nini kunipigia usiku zaidi? Just think of these complications.
Tuliambiwa kwenye maandiko, mwanaume ukae kwa akili na mwanamke maana ni mdhaifu. This means, what happens to women thinking, comes from their weakness, it can be their way to defines situation and events. Siku ukijua hilo hutahangaika nao
Fanya hivi, mchukue mkeo leo au kesho, mpeleke kariakoo, just hold Tshs 30,000 in your pocket, mkifika huko mwambie huwa unatamani avae vazi fulani (mwambie hili hapa)_then achague langi anayotaka maana wao wako interested na rangi. Mkitoka hapo pateni kinywaji sehemu, then mtake radhi kwa kilichomuudhi, hakika nakwambia, jioni hutomwomba ibada ya ushirika, ataiandaa na kukupa yote na tofauti zitaishia hapo
See the nature of your wife first then decide the style you can make living with her. Usilazimishe unalotaka wewe. Japo yapo mambo kwa mwanaume huhitaji kumshirikisha, unayapeleka kwa njia ya "power of man" na akileta za kuleta unamkolomea na kumpiga stop aache uzezeta because that is you power of authority in the house. Hapa ndipo theory ya Karl Marx inatumika kwa kipengele hiki "....
It holds that social order is maintained by domination and power, rather than consensus and conformity".
Mwanamke lazima akujua in black and white ili kwa baadhi ya mambo hata hapaswi kukuhoji maana kwanza ni mazuri hata kama akiyahoji haina maana kwa maana yeye hawezi kuyafanya kwa nature mnayoishi kwenye familia yenu.
Otherwise, context ya ndoa huamua style ya maisha na maamzi