Ndoa hizi, kweli yataka uvumilivu wapendwa

Ndoa hizi, kweli yataka uvumilivu wapendwa

Mzembe anapooa kisirani na kuitupia lawama taaaisi ya ndoa

Wonders shall never end
 
Pole sana na wala usiwaze.
Kosa lako lipo hapa
1. Kudhani kwamba unaweza kumfurahisha mwanamke kwa kufanya anachotaka.
2. Kumbembeleza anaponuna. Mtu akinuna na wewe piga kimya. Raha ya mnunaji ni kuona wewe unahangaika ili afurahi. Jifanye kama huoni.
 
Pole sana ulishakosea kutomshirikisha tokea mwanzo huenda hakupenda kuishi katika hilo eneo ulilonunua hamna jinsi ni kiasi tu cha kukaa na kumaliza tofauti zenu maisha yaendelee.
 
Nadhani utajifunza kitu, hiyo ni part 1 tu.
IMG_20191121_131036.jpeg
 
Ni dhahiri huyo katika kukushauri kwake kuwa muwekeze katika ardhi tayari alikuwa na plan zake. Aidha ana mtu ambae alishapanga nae upigwe hela (kuuziwa kwa fedha ya juu zaidi) ama tayari alikuwa na sehemu kwahiyo ungenunulishwa mali yake, kwahiyo angepata faida.
Kwa kifupi hili lililotokea linapaswa kuwa ni fundisho kuwa unaishi na mtu wa aina gani, jiongeze kama una nia ya kujenga basi jenga kivyako tofauti na hapo utakuja kulia kinywa wazi.
Common sense, at it's best!!
 
Anyway ...
Iiiiiiiih.Eeeeeeh.(kwa kicheko cha magu )

Mimi kesho yake tuu nampa dalali nakila hela ...wala siongei nae..
 
Mwanamke kukunyima unyumba Ni suala la kulalamika?
Ndio maana tunawaambia muwe na option nyingi.
Unakula mzigo unarudi zako home umefurahi!!!
 
Wanawake bana....ila ukiweza kumsoma vema mwenzio raha sana.....wako bado kaficha makucha miaka 4 michache sana bro, ila anza kumsoma sasa,,, usichepuke....komaa tuu......ukiweza uza kabisa....sometime wanaume huwa tunafanya mambo ya familia kimya kimya tuu.....ukimshirikisha tabu usipomshirikisha nayo balaa.........ugwadu ukizidi mbakilie mbali...aende akashtaki.....
 
Usenge huo unaandika jina la mwanamke huna mtt nae si ungeandika jina la mamako kama ishu ni jina la kike
 
Huyo mkeo kwa vile ushamuona mzuri na yeye anajua kuwa wewe unajua kuwa yu mzuri...sasa anataka akupandie kichwa akukanyage.
Kuwa makini, mu ignore kama anakunyima mbunye tafute wa kukupoza then mwache akae na mbunye lake hadi akijisikia. Na wewe mtese kama huna habari vile kumbe kiroho juu@bmk,
 
Mkeo ni mjanja, ana eneo lake somewhere ambalo alitaka ndio mkalinunue ili akupige wewe boya, sasa umeharibu deal lake lazima akukasirikie,.... Sasa muulize kama angependa mtafute eneo jingine la kununua uone kama hajakuletea muuzaji ndani ya wiki tu.
 
Miaka mitano kwenye ndoa huna mchepuko..!!!

Hii sio sawa, unamchosha mkeo.... ndio maana kakunyima siku tano tu umeanza kulialia kwa vile umezoea kumtesa kila siku.

Kuhusu kiwanja sina neno, ila surprise ni mambo ya kike..... bure kabisa.
 
Ni dhahiri huyo katika kukushauri kwake kuwa muwekeze katika ardhi tayari alikuwa na plan zake. Aidha ana mtu ambae alishapanga nae upigwe hela (kuuziwa kwa fedha ya juu zaidi) ama tayari alikuwa na sehemu kwahiyo ungenunulishwa mali yake, kwahiyo angepata faida.

Kwa kifupi hili lililotokea linapaswa kuwa ni fundisho kuwa unaishi na mtu wa aina gani, jiongeze kama una nia ya kujenga basi jenga kivyako tofauti na hapo utakuja kulia kinywa wazi.
Ni kweli kama unaweza kuaanzia sasa badili jina kabisa weka jina hata la Mama yako mzazi huko mbeleni huyo mkeo atakuletea shida
 
Back
Top Bottom