Ndoa hii imetoka kwa mungu

Ndoa hii imetoka kwa mungu

leo asubuhi nimeona ushuhuda mmoja toka emmanuel tv
huyu mama yupo 48 kwa sasa
alipatwa na tatizo la kukojoa kitandani since yupo miaka 10. Kaishi na hilo tatizo kwa mateso mengi
sasa akaolewa mume wake alikuwa hajui kama mkewe ana tatizo la kukojoa kitandani kila siku!
Duh siku ya kwanza kulala wote ndo aligundua kwamba mwenzake ndo hivo tena. Ila sasa kwa maajabu kumbe na mwanaume nae alikuwa na tatizo so walijikuta wanaelea mto nile kitu kimedouble .huyu kamwaga yule kamwaga!
Kwa hiyo wakaamua kuchukuliana hivo hivo na tatizo lao till 10 dec 2012 walipopata uponyaji kwa maombi ya tb joshua
kweli mungu anajua nani na nani waishi pamoja
naona huu ulikuwa ni mpango wa mungu kwa watu hawa waoane .
Kwa wale ambao hawana wenza tusubiri wenza wetu kutoka kwa bwana
ndege wanaofanana huruka pamoja!

mungu ana stoo ya watu ukimuomba hata kama anakasoro kuna namna ambavyo yeye atawaongoza kwani hata wengine watashangaa jinsi mnavyovumiliana hata baada ya miaka kadhaa mna vicheko vya furaha.
 
mungu ana stoo ya watu ukimuomba hata kama anakasoro kuna namna ambavyo yeye atawaongoza kwani hata wengine watashangaa jinsi mnavyovumiliana hata baada ya miaka kadhaa mna vicheko vya furaha.
akweli aisee MUNGU ana stoo nimeshangaa sana hii coincidence ujue!
 
leo asubuhi nimeona ushuhuda mmoja toka emmanuel tv
huyu mama yupo 48 kwa sasa
alipatwa na tatizo la kukojoa kitandani since yupo miaka 10. kaishi na hilo tatizo kwa mateso mengi
sasa akaolewa mume wake alikuwa hajui kama mkewe ana tatizo la kukojoa kitandani kila siku!
duh siku ya kwanza kulala wote ndo aligundua kwamba mwenzake ndo hivo tena. ila sasa kwa maajabu kumbe na mwanaume nae alikuwa na tatizo so walijikuta wanaelea mto nile kitu kimedouble .huyu kamwaga yule kamwaga!
kwa hiyo wakaamua kuchukuliana hivo hivo na tatizo lao till 10 dec 2012 walipopata uponyaji kwa maombi ya tb joshua
KWELI MUNGU ANAJUA NANI NA NANI WAISHI PAMOJA
NAONA HUU ULIKUWA NI MPANGO WA MUNGU KWA WATU HAWA WAOANE .
KWA WALE AMBAO HAWANA WENZA TUSUBIRI WENZA WETU KUTOKA KWA BWANA
NDEGE WANAOFANANA HURUKA PAMOJA!
Unafikiri ni hii moja tu ndiyo inatoka kwa Mungu? Zipo nyingi tu na huu ni mfano mmoja wapo.

Hapo ulipobold sijapaelewa vizuri, ndege wenye rangi moja huruka pamoja! Ina maana kwenye harakati za kuingia kwenye ndoa ukiwa mlevi kuna hatari ya kumpata mwenza mlevi? Au mwizi kumpata mwizi, mzinzi kumpata mzinzi, mchoyo kumpata mchoyo?!
 
ndo maana yake kwamba hata ujifiche vipi kama wewe una tabia chafu hata siku moja hutapata mwenye tabia nzuri kama wewe ni bomu utajikuta na bomu lenzako
 
ila jamani watu kiboko yaani mtu una matatizo makubwa hivi unamficha mwenzio?

Wakati niliposoma uzi wako kwa mara ya kwanza, nikawaza kipuuzi sana, kuwa suppose mi ndo ningekuwa nimemuoa huyo dada, halafu usiku tu wa kwanza kwenye honeymoon najikuta niko bwawa la mtera naogelea kwenye kojo la wife, sijui ningechukua hatua gani?!

Nafikiri ningeumia sana kujua kwamba nilidanganywa, maana tatizo la kukojoa kitandani si kubwa sana la kunifanya nitoe talaka. Kama mtu mwenyewe ni msafi, kuna njia za kuishi naye bila kuliona tatizo hilo kama ni tatizo kubwa ....:confused3:
 
kwani na wewe unakojoa kitandani ndiyo maana huolewi?
 
Mbona tatizo hilo Sio tatizo? Kwa kuwa dawa yake ni ndogo sana tena unapona tatizo hilo la "kumwaga" bila taabu tena kwa muda mfupi sana.
Duh! Nimecheka saaaana ulivyoanza story yako.
 
Mbona tatizo hilo Sio tatizo? Kwa kuwa dawa yake ni ndogo sana tena unapona tatizo hilo la "kumwaga" bila taabu tena kwa muda mfupi sana.
Duh! Nimecheka saaaana ulivyoanza story yako.
kwani nimeanzaje jamani?
 
So huyo mama kaolewa akiwa na 48? Maana ni ushuhuda mwingine pia, tena kuliko wa kukoma kukojoa!
 
So huyo mama kaolewa akiwa na 48? Maana ni ushuhuda mwingine pia, tena kuliko wa kukoma kukojoa!
yupo kwenye ndoa muda mrefu kwa sasa ndo yupo 48
 
aisee wamekutana patamu kweli hakuna wakumlaumu hapo sijui mtoto wao inakuwaje sasa...
 
Back
Top Bottom