Mzalendo Uchwara JF-Expert Member Jan 26, 2020 3,721 11,717 Jan 4, 2022 #21 Najua jamaa alikuita kwenye ile kamati yake enzi za utukufu wake, lakini asamehewe tu kama alivyoomba. Amekosa jamani, amekosa sana, wazanzibari ..... I mean watanzania tumsamehe.
Najua jamaa alikuita kwenye ile kamati yake enzi za utukufu wake, lakini asamehewe tu kama alivyoomba. Amekosa jamani, amekosa sana, wazanzibari ..... I mean watanzania tumsamehe.
Proved JF-Expert Member Sep 10, 2018 27,549 34,877 Jan 4, 2022 #22 Pascal leave the speaker alone...usitumie hii kama fimbo ya kumuadhibu, hata kama hukustahili kuhojiwa wakati ule msamehe tu.
Pascal leave the speaker alone...usitumie hii kama fimbo ya kumuadhibu, hata kama hukustahili kuhojiwa wakati ule msamehe tu.
TUJITEGEMEE JF-Expert Member Nov 6, 2010 23,914 23,079 Jan 4, 2022 #23 Bwana PGO said: Analipiza kisasi Click to expand... Aisee ! Ya kuambiwa alama ya kuuliza haikuonekana? Ha ha haaa! Muacheni ndugu yetu Pascal.
Bwana PGO said: Analipiza kisasi Click to expand... Aisee ! Ya kuambiwa alama ya kuuliza haikuonekana? Ha ha haaa! Muacheni ndugu yetu Pascal.
Joan S JF-Expert Member Oct 26, 2021 2,382 9,503 Jan 4, 2022 #24 Vessel said: Tikaribishane humo kambini basiii. Click to expand... Karibu
DENLSON JF-Expert Member Apr 28, 2013 944 1,253 Jan 4, 2022 #25 Kwa kinachoendelea hapa ikulu busara kwa Ndungai ni kujiuzuru tu hakuna kingine anaweza fanya kurekebisha mambo
Kwa kinachoendelea hapa ikulu busara kwa Ndungai ni kujiuzuru tu hakuna kingine anaweza fanya kurekebisha mambo
S V Surovikin JF-Expert Member Aug 8, 2015 13,625 32,751 Apr 27, 2023 #26 Kilichomtoa mayala kwenye ramani ni hizi riwaya zake za kutetea waovu na kujipendekeza kwa watawala. Wewe Mayala utafika mbinguni unachachamaa
Kilichomtoa mayala kwenye ramani ni hizi riwaya zake za kutetea waovu na kujipendekeza kwa watawala. Wewe Mayala utafika mbinguni unachachamaa