Ndoa bwana mmh!

Slave

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2010
Posts
5,313
Reaction score
2,657
Bora watu wangekuwa wanaoana kwanza, namaanisha kufanya mtihani kwanza kisha cheti cha ndoa baadae yaani baada ya kuhitimu,au siku mmoja wapo anapo fariki dunia ndo mmoja wao apewe cheti cha kuhitimu mitihani ya ndoa.

Lakini hii kupewa cheti kwanza afu mitihani baadae mhhh!?
 
Ndoa ndolinga,mi yangu inaenda kushoto kulia loya hasomeki,yan full shidraaaaa?
 
vipi mkuu umeshakamata nini mchuma (umeoa?)
 
Mimi ndoa yangu na mke wangu marejesho iko poa sana! Tunajiuliza kwanini tulichelewa kukutana!
 
Last edited by a moderator:
Best kwny hii kitu hakuna cha loya,wote shida na matatizo
inamaana nilidanganyika..? mwenzio nikajua eti mtu kama loya kwa kuwa sheria zote anazijua kwahiyo haitatokea akavunja sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…