Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,069
- 34,839
Mkuu.@SaraMMpe pole sana huyo dada yako kwa kuwa mume wake ndizi inasinyaa na kwanini haendi Hospiatli kujiangalia ana matatizo gani?Wapenzi salaam,
Nina mkasa, au jambo ambalo linamsumbua dada yangu kwa kiasi kikubwa sana,nimeshare nanyi kwa kuwa najua kwenye wengi hakukosekani busara na majibu ya maswali magumu.
Nina dada yangu mumewe anashindwa kumpa unyumba kwa miaka sita sasa, hata akijitahidi kukutana na mkewe anaishia njiani,yaani katikati inasinyaa, hii inatokana na nini, dada yangu kajaribu kila kitu hadi sasa anataka kuchukuwa maamuzi mazito, maana hamwoni muwewe kama anasumbuka na hilo kabisa,akimwongelesha hilo anakuwa mkali, na kukumbushia maugomvi ya zamani ili tu dada ajisikie vibaya.
Mimi kaka mimi nimemshauri kama aliweza kukaa miaka yote sita asiachane na mumewe, kwani ana watoto nae nahisi watapata taabu kisaikolojia, dada yangu anampenda sana mumewe, coz hata akijaribu kucheat huwa hasikii raha wala nn,anamwazia mumewe tu,mwishowe anamwacha mpenzi na kurudi home kujituliza, hali hii imemfanya akose raha kabisa,japo kila kitu kiko fresh kimaisha,ukimwona akiwa na mumewe utadhani anafuraha hakuna dosari,ila muda mwingi ,ushauri wenu unaombwa.naomba wenye uzoefu na hata waliowahi kukubwa na tatizo hili wasaidie kutoa ushauri,pia wanaume ambao waliwahi kupatwa na tatizo hili mtoe ushauri tumsaidie mwenzetu.
Mkuu Mkereketwa_Huyu Nimesha mjibu huyo bibie SaraM itabidi atembelee hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.htmlPole kwa dada yako lakini hii hoja ngoja nimpelekee waziri mtarajiwa MziziMkavu aje akupe jibu sahihi juu ya hili. Kwa haraka haraka tu, inawezekana huyu jamaa anampenda dada yako ila hataki kumuangamiza, kwani kuna uwezekano mkubwa huyu jamaa akawa ana kitu/ugonjwa anamficha dada yako.
Mkuu.@SaraMMpe pole sana huyo dada yako kwa kuwa mume wake ndizi inasinyaa na kwanini haendi Hospiatli kujiangalia ana matatizo gani?
huenda ana Upungufu wa nguvu za kiume au ana matatizo ya Upungufu wa (testosterone hormone) Mwambie huyo Dada yako ampikie mume wake supu ya Pweza iliyotiwa Pilipili kali ya unga au awe anampikia samaki wa Papa au
anywe Asali iliyotiwa Mdalasini na pamoja tango moja kila siku itamsaidia huyo mume wake kurudisha heshima au anione mimi nina dawa za kurudisha Heshima ndani ya ndoa anitumie baruwa Email Address yangu hii hapa (fewgoodman@hotmail.com)
Mkuu Mkereketwa_Huyu Nimesha mjibu huyo bibie SaraM itabidi atembelee hapa https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/196934-dawa-za-nguvu-za-kiume-kwa-anayetaka.html
Miaka Sita ni mingi hasa! Mi nakushauri, msaidie dada yako ili umjue huyo shemeji yako Kama Ana tatizo la saikolojia ama la! Maana unaweza kuta mashine ya dada yako imezidiwa utamu na mashine za nje! Tafuta msichana mrembo hasa halafu umtege shemeji yako! Akiingia laini, hakikisha anapewa blow-job ya ukweli halafu apewe mzigo! Ikisinyaa huyo Jamaa akatibiwe kwa kupewa dawa! Akipiga mzigo vizuri mwambie dada yako ajipange na waende kwa mtaalamu Wa saikolojia maana inawezekana dada hawezi kusisimua mumewe!
Mhhhh hakuna kurogwa banaaAende Tanga kuna wagoshi kule wanatibu hiyo tatizo,hao mashaikolojisht wanaweza kushindwa kabisha kwani sometimez inafungwa kabisha.