Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,377
Atakuwa kavumilia sana sana maana ungemwona miaka tano nyuma na sasa lazima kama ndugu yako ungembana, nimembana sanasana, kasinyaa, hata mkitoka haongei kama zamani, ana presha imemuanza na ni mwembamba, si poda wala cream hazimkai, kazidiwa,anaogopa hata kwenda kanisani au kwa wazazina mi ndo nimejishangaa!
yaah kusema ukweli hili la mke kusema kwa mdogo wake najua anakuwa anatafuta pa kuongea!lakini i think it is way too much! SaraM mwambie dadako nyumba na mume ni vyakwake!
anapokuambia kila hatua mume wake anayopitia kimwili itis too ambarassing!
kifua kina sababu zake kuwa hivi kilivyo jamani!
nani anajua mume anajua kuwa dadayake mleta mada anajua tatizo lake!
jamani erction ni zaidi ya ya dushe kusimama(hapa naanza zile bangi zangu!)
nyuma kuta nne na bati lake juu!wapenzi!
kasema kila akijaribu kuongelea hilo swala analetewa ukali wa hali ya juu, na kumbuka kumwongelesha mwanaume kitu hicho yataka ujasiri,akimwambia twende hospital anajifanya kaenda mwenyewe anarudi na vidawa vya forever living na health sijui nini, yaani nimeonyeshwa, naona kama ni za kawaida tu zile herbal
Atakuwa kavumilia sana sana maana ungemwona miaka tano nyuma na sasa lazima kama ndugu yako ungembana, nimembana sanasana, kasinyaa, hata mkitoka haongei kama zamani, ana presha imemuanza na ni mwembamba, si poda wala cream hazimkai, kazidiwa,anaogopa hata kwenda kanisani au kwa wazazi
Atakuwa kavumilia sana sana maana ungemwona miaka tano nyuma na sasa lazima kama ndugu yako ungembana, nimembana sanasana, kasinyaa, hata mkitoka haongei kama zamani, ana presha imemuanza na ni mwembamba, si poda wala cream hazimkai, kazidiwa,anaogopa hata kwenda kanisani au kwa wazazi
Kuna vitu unavisikia unabaki unashangaa tu
Ila kuna wakati ili mwanamme afunguke tatizo lake la ndani, inabidi umtengenezee mazingira'assurance' kuwa yuko salama mikononi mwako
Hasa matatizo yanayohusiana na 'uanamme' wake, muulize bila kuumiza 'ego' yake
Babu Dc please come back,mwaga busara zako
Hawa wadogo zetu wa dotcom wanajua jinsi ya kumfanya dume afunguke??
Babu DC!!
sema tu ni wewe sie huku hatunaga shida usikimbie kivuli chako ,ndio sababu unajikanyaga ,na anonymus yote bado una woga???we bwata tu hapa hatuweki footprint mama
pole sana for ur csta.je umewahi kumuliza huyo dada yako kama mume wake amewahi kupata tatizo lolote la kiafya kabla ya tatizo hilo kuanza?hususani kisukari,BP and other life style diseases.
mh! Kaunga umenipa kikombe kizito ujue!
najaribu kusema nashindwa!najaribu kunyamaza nashindwa najaribu kuvaa viatu vya hao wanandoa nashindwa(vinanibana i see)
weell!
tumeumbwa tukiwa wanadamu unajua enh!lakini pia kwenye uumbaji wetu tulipewa utashi na maamuzi!
ni ngumu sana ukiiangalia ngumu mno!lakini ndio mumeo ndio mkeo!unafanyaje?
mume namuelewa ukali na kukumbushia makosa ya mke ya zamani ni kujaribu kujisahaulisha tatizo!lakini anaumia pia!nani anaweza kuona rahisi kuona tu paja na zangundi ya mke ikivaa na kuvua teitei bila kuweza kuigusa jamani!
lakini sasa hao wawili inabidi watafute namna ya kusaidiana !
kuanzia kimwili mpaka kiroho!
kimwili ,japo si very suffiecient kihivyo lakini bora nusu hasara bana!mume anaweza kumpa support wife kivingine!
lakini hili nalo lataka ridhaa ya mke kiakili!like ajue kuwa mume wangu anaweza hili na hili ndio napaswa kuridhika nalo!kuridhika ni pamoja na kutokumfanya mwenzie aone hafai tena!KILA KITU NI AKILI TU!akili tu ukiiset kitu inakubali na maiisha yanaendelea!
kiroho,hakuna wakati hii ndoa inahitaji sala na kumlilia Mungu kama huu!hakuna!
na katika hilini maombi na kufunga kwa pamoja!SALA zinaleta faraja jamani,sala zinapeleka nguvu na tumaini paliposhindikana!
ilayote tisa!
Kumi
NDOA NI ZAIDI YA TENDO!NI ZAIDI YA KUZAA WATOTO!NI ZAIDI YA MIILI YETU!
ukiweza kufika stage unahisi umeoa na kuolewa na nafsi ya mwenzi wako!,walahi hata kumuona akifua na kurudi nyumbani tu ni ridhiko la kijinsia tosha!