Ndoa bila pesa, haiendi kokote.

kangau

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2016
Posts
258
Reaction score
258
Kijana ndoa bila pesa haiendi kokote usijidanganye kabisa, tafuta salio kwanza..bora mahusiano/mapenzi bila pesa kwanii any time unaweza mtema ukafwata ratiba zako..ila kitu inaitwa NDOA TENA YAKI ROMA KATOLIKI ni shida mzee tafuta pesa kwanzaa..
Ila habarii etii wanawake wanatofautianaa achana nayo kabisaa mzee, wote wana enda haja ndogo wamechuchumaa.
Chungaa sana kijana wa kiume, tafuta salio kwanza kama una ndoto za ndoa yenye furaha na itakayo dumu.

Chunga Sana.
 
umeenda mbali sana mkuu siku hizi bila hela uhakuna mapenzi unless otherwise ukubali kuwa mchepuko
 
Mkuu ndoa yako inamiaka mingapi? Tuanzie hapo.
 
Na pesa bila YESU ni makaratasi tuu hayo. Kuna faida gani ukatafuta pesa alafu SHETANI ndo anazitumia?????? tnat is demonic spirit
 
Mkuu ndoa yako inamiaka mingapi? Tuanzie hapo.
Bahati nzurii sija oa mkuu ila kwa ninacho kiona kwa watu wangu wakaribu sana sanaa tu..duu!! Wanawake ni raia wa ajabu sanaa..
Yaani mtu kasomeshwa, kafunguliwa duka zuri tu la kuingiza kipato kama vile jamaa alijua one day mambo dili zake zita yumba akajihamii kwaku invest hata kaduka tu mama asimamie..ila sasa duuu!!!!
 
Unachokiogopa jela utakikuta gesti
 
Waweza niambie ukomo /kiasi sahihi chapesa kinachofaa ktk ndoa ??.


Nadhani sio sahihi kusema ivo ,, kama mlivyoishi ktk uchumba wenu ,basi hata mkioana maana yake nimambo machache mtakayobadili.

Na ninaamin , Mpaka MTU anaoa ,anaoa yule ambaye anajua wanaendana.
 
Sio kweli mkuu ingekuwa hivyo wazazi wetu wasingeoana. Cha muhimu na ambacho huwa nawashauri kaka zangu siku zote oa mwanamke wa level yako...sio hela huna unataka kuoa mwanamke wa kishua utaishi kwa stress wewe na utakufa siku si zako.
 
Hakuna kiwangoo cha pesaa mkuu, pesa hazijawahii mtosha mtu bosii.
 
Sema ndoa ya rafiki yangu niliipenda bure jamaa alitualika jumla ya watu 50 akaita yamoto band live tukanywa tukalewa.....
 
Sio kweli mkuu ingekuwa hivyo wazazi wetu wasingeoana. Cha muhimu na ambacho huwa nawashauri kaka zangu siku zote oa mwanamke wa level yako...sio hela huna unataka kuoa mwanamke wa kishua utaishi kwa stress wewe na utakufa siku si zako.
Mkuu!! Usifananishee ndoa za wazizii wetu na ndoa za watoto wa tisini kabisa aisee..utakuwa unawakosea heshima wazazi
 
Mkuu!! Usifananishee ndoa za wazizii wetu na ndoa za watoto wa tisini kabisa aisee..utakuwa unawakosea heshima wazazi
Eeh shauri yenu na darisalama yenu sisi huku mkoani tunaoana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…