Kigarama
JF-Expert Member
- Apr 23, 2007
- 2,492
- 1,230
Matokeo ya uchunguzi wa DNA uliofanywa na TBS umethibitisha kwamba zaidi ya asilimia hamsini ya watoto waliopimwa DNA zao na TBS waligundulika kuwa si wa baba waliodhaniwa kuwa ndiyo baba zao. Tafsiri ni kwamba inawezekana ni kutokana na shinikizo la wanandoa kutaka kupata watoto linalowafanya wanawake watafute watoto kwa njia yoyote ile hata kama ni kwa kutoka nje ya ndoa zao.
Jee ndoa haiwezi kunoga bila ya kuwa na mtoto?
Jee ndoa haiwezi kunoga bila ya kuwa na mtoto?