Liverpool_Jr
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,220
- 1,417
Good morning
Morning bebi
Watu wazima wana ndoa zina halii mbayaa.ndoa ni kama kazi.
mbaya ukiwa nayo.
mtu mzima haui sababu ya penzi,huyo mgoni amefariki kwa kusababishiwa majeraha.
watu wazima hakuna wasichokijua dunia hii,endelea kukaa nao watakufunda mengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pale kati patamu.Yaani unampa kipigo mwanamke kisa umemfumania analiwa?
Hapana huu ni upuuzi mtupu
Morning?Good morning
Salama..Za asubuhi wakuu?
Miaka 50's kaua..Duh hatari
Good morning.Good morning
Im quite well, thank you.
Sikula pia😂Morning?
Jana hukula nyama zotee, au hukula za mchana ila NYAMA YA USIKU ULIKULA??
#YNWA
Wrote from Anfield..!!
Ona hii mbuziYaani unampa kipigo mwanamke kisa umemfumania analiwa?
Hapana huu ni upuuzi mtupu