King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,866
- 24,985
Hehehe na bado kuna kitambi cha mishkaki ya nundu na kitimoto khaa. Eti kitambi cha makande hahahaha
Yani kuna limwanaume limoja ilo lilikataa eti nina tumbo kubwa ...basi bwana kumbe kipindi kile lilikua tumbo la makande ya shule ndo tumemaliza ile6...limegegeda weee eti saivi nimekua zangu modo kwa ugumu wa maisha ndo linataka linirudie eti linanichekea chekea loo silitaki tena koz likinioa ili nikija zaa nitakua na mtumbo soo litachepukaa achepuka na kuniumiza..maadam nimemjua mapeyma nimemwambia pita vileeee sikuitaji mungu atanipa wangu..mfyuu