Ndo wanamalizia cha mwisho

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,454
Reaction score
872,084
Usiku mzima hawakulala yani kazi ilikuwa moja tuu kelele na sauti za mikasi tukasema ama kweli leo watu wanakazana
Lakini hatimaye ndio wanamalizia kutengeneza kikadi cha mwisho kwa ajili ya maandalizi ya mialiko ya sikukuu
 
....nilivosikia wanakazana nilijua wanakazana kweli.....kumbe wanakazana...kivingine....basi na wakazane Mpaka wakatikiane...
 
....nilivosikia wanakazana nilijua wanakazana kweli.....kumbe wanakazana...kivingine....basi na wakazane Mpaka wakatikiane...

Hahahaaaa shida ni kuwa huwa tunasoma huku tayari tuna tafsiri zetu vichwani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…