Mzungu alipanda ndege na mbongo. Akaanza kumdharau na kuona hajui kitu. Akamwambia mbongo "Tucheze mchezo wakuulizana maswali. Ukiwa hujui unanipa mimi dola 500 na nikikosa mimi nakupa $10,000." kwa tamaa kwamba yeye mjuzi wa yote. mbongo akasema sawa. Mzungu akamuuliza, "nani walipagana world war I?". Mbongo akawa hajui akamlipa mzungu $500. Sasa mbongo akamuuliza mzungu," Kitu gani kinaenda juu na miguu mitatu na kinarudi chini na miguu minne?" Mzungu kimyyyaaa! Akamplipa mbongo $10,000. Sasa akamuuliza, "Haya sasa niambie jibu lake nini?"
Mbongo akamrudishie $500, akamwambia "sijui"
more creative teacher, kaua soo nzima classMwalimu mmoja alienda darasani huku amechoka,kufika tu akawapa wanafunzi vitabu wasome kisa cha ''watu wa pangoni''.Mara akapitiwa na usingizini na kuuchapa pale pale mezani kwake.
Gafla anashtuka anamwona msaidizi mkuu wa waalimu ndo ameshaingia darasani.....hapo hapo akaunganishia hadithi..................
''basi MFANO NILIOTOA NDO WALIVYOKUWA WANALALA WATU WA PANGONI''
simu ikilia kanisani ni noma, watu wote macho kwako kama vile umejinyeaJamaa aliingia kanisani bila kuzima simu,wakati ibada inaendelea simu ikaita,akaingiza mkono mfukoni kuizima,kumbe ndo
kapokea,mara simu ikaaza kusema ''''mme mbona hutaki kupokea simu?nimekumiss sana'''jamaa akabonyeza tena kuzima kumbe ndo kaweka loud spika,''''''Honey unanikera nimeletewa tetesi kumbe haupo safarini bali upo gesti na mke wa mtu''
watu huko ndani hoi kwa kicheko
Hahahaha aiseee
hii kali mkuu mimi na huyu mwenye jinsia kama spika wa bunge TUNACHEEEEEKA,Mzungu alipanda ndege na mbongo. Akaanza kumdharau na kuona hajui kitu. Akamwambia mbongo "Tucheze mchezo wakuulizana maswali. Ukiwa hujui unanipa mimi dola 500 na nikikosa mimi nakupa $10,000." kwa tamaa kwamba yeye mjuzi wa yote. mbongo akasema sawa. Mzungu akamuuliza, "nani walipagana world war I?". Mbongo akawa hajui akamlipa mzungu $500. Sasa mbongo akamuuliza mzungu," Kitu gani kinaenda juu na miguu mitatu na kinarudi chini na miguu minne?" Mzungu kimyyyaaa! Akamplipa mbongo $10,000. Sasa akamuuliza, "Haya sasa niambie jibu lake nini?"
Mbongo akamrudishie $500, akamwambia "sijui"
Mwalimu mmoja alienda darasani huku amechoka,kufika tu akawapa wanafunzi vitabu wasome kisa cha ''watu wa pangoni''.Mara akapitiwa na usingizini na kuuchapa pale pale mezani kwake.