Anayauza maisha yake kwa bei ya Bure.
Inaelekea mtoa madahajapitia hata JKT.
Alikesha kwenye chang'aa huku akisahau kuwa anaingia lindo.
Inaelekea mtoa madahajapitia hata JKT.
Angekuwa amepitia huko angejua yafuatayo:
-huyu si askari wa jeshi letu JWTZ,, maana uniform zao hawa mix fatigues na olive green uniforms
-Cheki vizuri crown na ujidhihirishe kama ni crown ya JWTZ
-Bunduki hiyo ni G3, standard NATO submachine gun, tofauti na za JWTZ ambazo ni SMG.
Huyo ni askari wa jeshi la polisi Kenya.
Mkuu najivunia geshi letu, hizo alizofanya mtoa mada ni negative insinuations.Mkuu mbona umepaniki na hakuna sehemu yoyote mleta mada aliposema ni askari wa jwtz, mbona huyu anajulikana ni polisi wa Kenya na uniform zao zinajulikana
Inaelekea mtoa madahajapitia hata JKT.
Angekuwa amepitia huko angejua yafuatayo:
-huyu si askari wa jeshi letu JWTZ,, maana uniform zao hawa mix fatigues na olive green uniforms
-Cheki vizuri crown na ujidhihirishe kama ni crown ya JWTZ
-Bunduki hiyo ni G3, standard NATO submachine gun, tofauti na za JWTZ ambazo ni SMG.
Huyo ni askari wa jeshi la polisi Kenya.
mtoa mada ameweka picha na title isemayo ndo nini sasa basi!!haya mongeni unayajenga mwenyewe!Mkuu najivunia geshi letu, hizo alizofanya mtoa mada ni negative insinuations.
Mbona huyo ni afadhali kuliko huyu.............
Huyo ni mwanajeshi wa Kenya.