Ndo nimetoka kifungoni !!!

Karibu mkulu!
Afu usisahau kuni-PM na ile ID yako ingine ili nikutuie draft 1 structure ya jukwaa letu la matusi, ili tuitume kwa Maxence Melo ili ifanyiwe kazi.
Wasalaam...
 
Last edited by a moderator:
khaaaaaaa Baba V, kwanza pole kwa ban! nilishatalikiana na Young_Master loooong tym, nadhani ndio ulituacha hivyo, sasa hivi nimeolewa mke wa tatu kwa babu Asprin, tena nina mimba ya triplets, babu hebu muwekee ili picha yangu ya mimba! na ile unayonikiss ndio ataelewa! lol! nways karibu tena jamvini, we missed u!

My dear,life bila Jf haiwezekani!? unapompa mtu BAN ni kama vile unamwambia kafùngue Id nyingine
 
Last edited by a moderator:
Karibu mkulu!
Afu usisahau kuni-PM na ile ID yako ingine ili nikutuie draft 1 structure ya jukwaa letu la matusi, ili tuitume kwa Maxence Melo ili ifanyiwe kazi.
Wasalaam...

Mkulu Mphamvu,huo sasa ni uchokozi, unataka Jf isitawalike,tafadhali futa kauli yako, teh teh
 
Last edited by a moderator:
kifungoni kulikuwa je,
haukukutana huko na mkuu ASPRIN?

hapa chitchat ni ndoa za mkeka kila siku,
watu wanaolewa na kuachika kama nini vile,
tena ukija na kiu ya huko kifungoni ukianza kuvamia makoloni
ya watu bila shaka utarudi tena huko.

karibu tena mkuu.
 
nasikia Jela maji huwa ni ya shida, njoo huku nkusaidie maji ya kuoga Baba V
Ila siku nyingine usitoe za uso unless umetoa pre-warning mhusika avae helmet
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom