Ndo nimeachwa hivi au?

Fedha, Fedha ,embu mtumie laki moja na buku ten yakutolea uone reaction yake.
 
Nawe piga kimya mkuu hawa madem ndo wanakuwaga hivyo wakati mwingine,akishajua unamhitaji sana na anaona hauwezi kuishi kwa furaha bila yy, japo inauma fanya kumuonesha yy sio pumzi yako unaweza endelea na maisha yako bila yy yaani mtafute anapokutafuta akikaa kimya naww piga kimya kama ikipita wiki mbili hajakutafuta basi jua hakupendi na hauna haja yakulazimisha penzi kwa asiyekupenda endelea na life lako,wakati mwingine kuwabembeleza sana siyo ishu be a man hata kama inauma hamna namna
 
Nanina hujawai hata kumtumia mpesa unatemea nini, nfyuuuuuuux
 
Neno
 
MUNGU anakuona ujue hasa kwenye hitimisho lako. We haya we!!!
 
Wewe
Wa wapi huoni dalili hiyooo..
 
Asante Thad swahiba wangu wa ukweli,

hakuna namna swahiba, mahusiano ya mapenzi au uchumba yanapogoma kusonga mbele bora tu mkaachana.

Kweli swahiba, ni vigumu kulazimisha maji kupanda mlima. Inapobidi tunafanya maamuzi magumu hata kama yanatuumiza.
 
Mkuu naomba nafasi kwako ZAWADI zitakuepo
 
Hapo kuna sehemu anachezesha bahati yake ikibuma mbona atarudi tu .
 
pole sana mkuu hapo ushavamiwa penzi lako nakushauri acha kumfatilia hasa kwa kupiga sim utajiumiza tu bure kama mpo karibu ni vzur kama mtakaa na kuyaongea but kama ni mbali fyekelea mbali hizo sim unazopiga kuna siku zitapokelewa na mwanaume mwenzako kwhyo jiandae kisaikolojia
 
Jinga sana ww, wanawake wametapakaa kila kona unalia lia eti umeachwa, wanaume wa dar
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…